GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwendo Ameumaliza Hapa DunianiRest easy champion
Mkuu tofauti ya mwizi na jambazi ni muda tu wa kufanya matukio. Anayevunja nyumba mchana ili aibe anaitwa mwizi na anayevunja nyumba kuanzia saa 1 usiku, huyo ni jambazi. Ndio utofauti wa mwizi na jambazi. Sijui, watu wanaheshimu giza sasa?Nachukia wezi kuliko jambazi...hata gerezani jambaz anaheshimika kuliko mwizi...
Mkuu rudi shule...Mkuu tofauti ya mwizi na jambazi ni muda tu wa kufanya matukio. Anayevunja nyumba mchana ili aibe anaitwa mwizi na anayevunja nyumba kuanzia saa 1 usiku, huyo ni jambazi. Ndio utofauti wa mwizi na jambazi. Sijui, watu wanaheshimu giza sasa?
Mkuu, shule naipata jukwaani hapa. Kwa faida ya wote, naomba unifunze hapa nijue tofauti ya wizi na ujambazi.Mkuu rudi shule...
Mkuu kama upo jukwaani basi ni vyema nikufahamishe hiz mada zimeshajadiliwa sana...nikukumbushe tuu kupitia jukwaan hapa pitia nyuz mbali mbali usipo elewa nitakueleweshaMkuu, shule naipata jukwaani hapa. Kwa faida ya wote, naomba unifunze hapa nijue tofauti ya wizi na ujambazi.
Najaribu kutafuta maana usije kuwa mbuyu ila umeleta ktk lugha ya pichaMtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.
Chanzo: itvtz
Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali nitavizia Sionekani kisha Namzaba bonge la Kofi Olomide.
Mkuu thamani uhai. Aliyekufa ni binadamu kama wewe siyo mnyama.Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.
Chanzo: itvtz
Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali nitavizia Sionekani kisha Namzaba bonge la Kofi Olomide.
Si ujibu tu kama unajuwa kuliko kuzungukazunguka. Wekapo basi hata linki.Mkuu kama upo jukwaani basi ni vyema nikufahamishe hiz mada zimeshajadiliwa sana...nikukumbushe tuu kupitia jukwaan hapa pitia nyuz mbali mbali usipo elewa nitakuelewesha
Apumzike kwa amani!