Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba?

Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo basi, mchawi , mlevi, muuaji, mwizi, muongo n.k sehemu yao Ili wageuke ni Kanisani au Msikitini.

Jambo la kushangaza ni kwamba leo waovu ni kama wanatengwa badala ya kupokelewa kwa moyo mkunjufu katika eneo walilopaswa kukaa Ili kuweza kujifunza na kubadili mienendo yao.
 
Back
Top Bottom