Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

Huyo almasimzambele ni nani...

Au hujui kuandika!!??
 
Ukaamua uje ujianzishie na Uzi JF[emoji23][emoji23]!!We huwezi kufanikiwa almas,utaendelea kutembelea migongo ya wanaume wenzio mpaka udate
 
Sasa hata tuzo ya kununua nayo n yakuweka mtafaruku
 
Hapo kwenye mkuu wa mkoa wa Dar umeniacha hoi!
 

Sisi inatuhusu nini??

Hao wote wajinga
 
Kumbe Tekno anakijua Kiswahili hadi anawatungia ngoma WCB!!!
Inawezekana kweli Tekno alikuwa au ana mtungia nyimbo na analipwa. Hakuna ubaya wowote, Barnaba ni mtungaji mzuri na amewatungia wasanii wengi kwa Tanzania. USA kuna Baby Face, alitunga nyimbo nyingi na kwa wasanii wakubwa kama Toni, R.Kelly,Whitney,n.k.Rayvanny hata akitunga analipwa.
 
Tekno hawezi kumsahau Diamond maana ndie alie mshawishi kuachana na kuwa producer hadi kuwa muimbaji......huyo ni hata simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…