algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
mtu mzito sana hapa mjini, mtaalam wa mziki na mtu anayeijua WCB zaidi ya diamond aijuavyoHuyo Almas mzambele ndo nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu mzito sana hapa mjini, mtaalam wa mziki na mtu anayeijua WCB zaidi ya diamond aijuavyoHuyo Almas mzambele ndo nani ?
Mmmh Kumbe. Kazi yake hasa ni nini kwenye muzikimtu mzito sana hapa mjini, mtaalam wa mziki na mtu anayeijua WCB zaidi ya diamond aijuavyo
Ukaamua uje ujianzishie na Uzi JF[emoji23][emoji23]!!We huwezi kufanikiwa almas,utaendelea kutembelea migongo ya wanaume wenzio mpaka udateCongratulations @rayvvany to BETAwards17 Best International Viewers' Choice winner @rayvanny,
Mwanangu umestahili kushinda maana hata walio shiriki kabla yako umechangia kwa kiasi kikubwa ktk kufika walipofika, maana siku hizi tokea umeingia WCB hata yale malalamiko ya watu kuibiwa nyimbo akina @daynanyange n.k yamepungua kama sio kuisha kabisa nadhani tekno hata tutungia tena nyimbo nyingine maana wewe jamaa unaweza na mchango wako watu wanauona, tunao kujua vizuri tunajua mengi uliofanya na wahusika wamekuwa wachoyo wafadhira hawaki kutoa credit zako lkn pia wambie viongozi wamuweke @madeeali
Kwenye percent za mapato yako maana kafanya kazi kubwa kwako japokua mwenyewe hasemi lkn atakuwa anaumilia rohoni. Congrats to BETAwards17 [emoji119]
MASWALI
1- Anamaanisha kwamba Before Diamond alikua Anaiba nyimbo za wasanii wengne mfn akina daina nyange
2- Tekno alikua anawatungia wcb/diamond nyimbo
3- Rayvanny dio anaewatungia wasanii wengine wa WCB nyimbo
KARIBU WANA JAMVI TUPOVUKE
Hapo kwenye mkuu wa mkoa wa Dar umeniacha hoi!Wabongo bhana
Yaan mshindi mwenyewe kawashukuru wote Diamond na Madee, halaf yeye bwana mzambele kwake ina muuma kishenzi.
Yaan watu wakifurahi mnatafuta namna ya kuwapiss off. Dogo alikuwa na Madee na alisaidiwa sana ni kweli, ameenda WCB amechange ametoka kutokana na uwekezaji wao na bidii yake alipo fika huko, anamjua kila alo msaidia na kesha washukuru wote.
Sasa mzambel ana kuwa kama mkuu wa mkoa wa Dar bhana! haiko poa hiyo
Congratulations @rayvvany to BETAwards17 Best International Viewers' Choice winner @rayvanny,
Mwanangu umestahili kushinda maana hata walio shiriki kabla yako umechangia kwa kiasi kikubwa ktk kufika walipofika, maana siku hizi tokea umeingia WCB hata yale malalamiko ya watu kuibiwa nyimbo akina @daynanyange n.k yamepungua kama sio kuisha kabisa nadhani tekno hata tutungia tena nyimbo nyingine maana wewe jamaa unaweza na mchango wako watu wanauona, tunao kujua vizuri tunajua mengi uliofanya na wahusika wamekuwa wachoyo wafadhira hawaki kutoa credit zako lkn pia wambie viongozi wamuweke @madeeali
Kwenye percent za mapato yako maana kafanya kazi kubwa kwako japokua mwenyewe hasemi lkn atakuwa anaumilia rohoni. Congrats to BETAwards17 [emoji119]
MASWALI
1- Anamaanisha kwamba Before Diamond alikua Anaiba nyimbo za wasanii wengne mfn akina daina nyange
2- Tekno alikua anawatungia wcb/diamond nyimbo
3- Rayvanny dio anaewatungia wasanii wengine wa WCB nyimbo
KARIBU WANA JAMVI TUPOVUKE
Inawezekana kweli Tekno alikuwa au ana mtungia nyimbo na analipwa. Hakuna ubaya wowote, Barnaba ni mtungaji mzuri na amewatungia wasanii wengi kwa Tanzania. USA kuna Baby Face, alitunga nyimbo nyingi na kwa wasanii wakubwa kama Toni, R.Kelly,Whitney,n.k.Rayvanny hata akitunga analipwa.Kumbe Tekno anakijua Kiswahili hadi anawatungia ngoma WCB!!!
MhTekno hawezi kumsahau Diamond maana ndie alie mshawishi kuachana na kuwa producer hadi kuwa muimbaji......huyo ni hata simjui