Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
Congratulations @rayvvany to BETAwards17 Best International Viewers' Choice winner @rayvanny,
Mwanangu umestahili kushinda maana hata walio shiriki kabla yako umechangia kwa kiasi kikubwa ktk kufika walipofika, maana siku hizi tokea umeingia WCB hata yale malalamiko ya watu kuibiwa nyimbo akina @daynanyange n.k yamepungua kama sio kuisha kabisa nadhani tekno hata tutungia tena nyimbo nyingine maana wewe jamaa unaweza na mchango wako watu wanauona, tunao kujua vizuri tunajua mengi uliofanya na wahusika wamekuwa wachoyo wafadhira hawaki kutoa credit zako lkn pia wambie viongozi wamuweke @madeeali
Kwenye percent za mapato yako maana kafanya kazi kubwa kwako japokua mwenyewe hasemi lkn atakuwa anaumilia rohoni. Congrats to BETAwards17 [emoji119]

MASWALI
1- Anamaanisha kwamba Before Diamond alikua Anaiba nyimbo za wasanii wengne mfn akina daina nyange

2- Tekno alikua anawatungia wcb/diamond nyimbo

3- Rayvanny dio anaewatungia wasanii wengine wa WCB nyimbo

KARIBU WANA JAMVI TUPOVUKE
 
Wabongo bhana
Yaan mshindi mwenyewe kawashukuru wote Diamond na Madee, halaf yeye bwana mzambele kwake ina muuma kishenzi.
Yaan watu wakifurahi mnatafuta namna ya kuwapiss off. Dogo alikuwa na Madee na alisaidiwa sana ni kweli, ameenda WCB amechange ametoka kutokana na uwekezaji wao na bidii yake alipo fika huko, anamjua kila alo msaidia na kesha washukuru wote.
Sasa mzambel ana kuwa kama mkuu wa mkoa wa Dar bhana! haiko poa hiyo
 
Huyo hajitambui ni wivu wa kimasiki umemjaaa, mngeweka na picha yake tumjue alivyo.
 
bongo kuwa maarufu ni kuamua tu . na ujio wa insta unasaidia sana mtu kujulikana ......
 
Macameron hawana nafasi nchi hii, kwahiyo msimtafutie kiki humu hatutaki kumjua.
 
Back
Top Bottom