katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
hapo ni swali na conclusion yanguunauliza swali na unaconclude? sasa ni swali au ulikua unatuhabarisha?
kwaio mungu hana tatizo na shetani wakati huu? mpaka mda wake ukifikaKwa Mungu siku moja ni kama siku elfu moja na siku elfu moja ni sawa na siku moja! kwahiyo wakati wa shetani bado.
mfano wa kuku hauendani!Usiwe na haraka, shetani anaujua wakati wake na anakimbizana na muda, na wewe fahamu wakati wako.
Choices ni mbili tu: Moto au Mbingu. MUNGU hapangiwi lini atoe adhabu.
Wale kuku wako pale nyumbani huwa wanakupangia lini umchinje yupi?
Sisi wote ni viumbe wake na keshaamua kuwa asiyekubali njia zake kiberiti kinamuhusu. Kazi kwako.
Ndugu yangu, mfano wa kuku nimekupa ili uone nguvu ya umiliki. Ss kuku ww umenunua ila hawakupangii unawachinja kwa mtindo upi, au unawatunza kwa mtindo upi, sasa imagine anayekumiliki kwa kukuumba.m
mfano wa kuku hauendani!
ulitakiwa uchukulie mfano wa nyoka akiwa ndani kwako utaendelea kumlea lea ?na ndani kuna watoto uwapendao wasiojua kitu
au magugu shambani unaweza kuyavumilia wakati yanakuharibia mazao yako?