UTATA:HIVI NI KWELI HAWA WATU WALISHA KUFA?

UTATA:HIVI NI KWELI HAWA WATU WALISHA KUFA?

Mimi ni tabibu...haya eleza unasumbuliwa wapi?!
kila mahali, naona kama pumzi kama inakuwa nzito kuvuta...sio kwa pozi hilo...kila nikizidi kukukodolea mijicho yangu naona kama unanitazama then unageuka kwa aibu...
 
Mithun naona katulia kweli,
Mzee Amitha barchan yeye tuko nae insta kila SIKU,ila ndo hiyo nae kazeeka
 
kila mahali, naona kama pumzi kama inakuwa nzito kuvuta...sio kwa pozi hilo...kila nikizidi kukukodolea mijicho yangu naona kama unanitazama then unageuka kwa aibu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww huumwi ww...
 
Nipo nasikiliza song la Mithuni Chakraboty hapa umemikumbusha mbali sana enzi ya disco dancer.
 
Acha uvivu..muda uliotumia kuanzisha huu uzi ungeenda google ungepata majibu yote hayo
 
Hata ukigoogle Obama kafa au yupo utapata jibu la kuwa amekufa huku juzi alikuja huku Tz
 
Back
Top Bottom