Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.
Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi
Shabiki wa Rick Ross na Hamisa Mobetto wamekuwa wakijiuliza kuwa mahusiano ya wawili hawa ni batili kwasababu hawajaona kurasa za Rick Ross Instagram, Facebook na Twitter zikichapisha picha, video au taarifa yeyote inayohusiana na Hamisa Mobetto.
Wengine wamedai kuwa Hamisa Mobetto ndiye anayelazimisha mapenzi kati yake na Rick Ross ndio maana Hamisa Mobetto amekua akichapisha habari za upande wa pili huku Rick Ross akiwa kimya.
Wengine wamedai kuwa Rick Ross ana mchezea Hamisa Mobetto ndio maana hajachapisha habari yeyote juu yao na kama angekuwa anamthamini Hamisa Mobetto basi angekuwa mstari wa mbele kudhihirishia ulimwengu kuwa yupo kwenye mahusiano kama wanaume wanavyokuwa mstari wa mbele kuonesha mahusiano yao.
Je wewe una mawazo gani juu ya mahusiano haya?