Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama




[h=1]Jason bourne

JF Senior Expert Member
[/h]



Join Date3rd July 2011Last ActivityYesterday 04:20Avatar



 
Manake mimi nilidhani wanaishia kwenye polisi ya kijamii tu, kumbe mpaka huku ushirikishwaji upo?!

...hahaaaa mkuu unajua social media ni zimwi linaloitisha sana serikali so lazima jamaa wajae kwa wingi kujaribu kucontrol mijadala hatarishi kama hii kwa kupotosha ukweli kwa manufaa ya usiri,ni mtazamo tu...
 
Mwigulu Nchemba bungeni leo:- "....cdm mnapitapita huko, mnarubuni wafanyakazi wa serikali na wa baadhi ya taasisi zake......mkidhani mnaihujumu ccm.....hatuwezi kukubali...."
 
Mwigulu Nchemba bungeni leo:- "....cdm mnapitapita huko, mnarubuni wafanyakazi wa serikali na wa baadhi ya taasisi zake......mkidhani mnaihujumu ccm.....hatuwezi kukubali...."


Mwigullu ...dumb head as usual ...this Kusema "hatuwezi kukubali" ni kuwatishia wayumishi wa umma ambao basically hawawajibiki kwenye vyama ...kuwa kitakuwa na circumcence za "kurubuniwa" na Chadema ....!
Watumshi wa umma wanayo sababu ya kuamini kuwa hili ni tishio la kifo au wanaweza kuuliwa baadhi wanaohisiwa kuwa wapinzani au kufukuzwa kazi !!!

Au Mwigullu kakasirika Siri ya video kuvuja...basi Waliomsaidia Wawe makini anaweza "kuwaondoa" na hivi ametoka China kwenye mafunzo ya ujasusi Baada ya wakuu wake kuona anafanya mambo "kitoto"....nadhani amefeli
 
Jason bourne, we love u, whatever you are plz say hallow so that our hearts stay calm. We are at deep worry
 
Japo inasikitisha na kuuma sana kuutoa uhai wa binadamu bila kibali cha muumba,
Lakini ukweli unabaki kuwa,

Katika idara za kijasusi duniani, vifo vya wanausalama ni jambo linalotegemewa ikiwa utaenda kinyume na miiko ya idara husika!

Unapoajiriwa katika idara kama hii kuna viapo kila unapopanda cheo,

Na mashariti ya kiapo hicho ni kifo tu!
 

Mkuu unachokisema ni kweli, ukiwa huko huwezi kuepuka hayo.
 
ivi yule mtesaji wa dokta ulimboka aliyetambulika kama ramadhan ighondu aliishia wapi au ndo kafichwa???
 
Inauma, inasikitisha,inatia huruma.Kama kwa afisa usalama anakufa kifo cha hivi na inapita hivihivi itakuwaje kwa raia anayeshinda anauza mitumba pale Kariakoo?Mungu tuondolee roho hizi zilizoinuka kuua na kutesa binadamu wenzao.Poleni ndugu, jamaa na rafiki wa Peter.
 

Hivi kumbe wewe ni walewale?? ........ ndio maana unaongea ovyoovyo na kudhani kuwa wengine hawajui chochote isipokuwa wewe ndio mwerevu?
Unajua nini? wewe ni mgonjwa wa akili, ila hujitambui tu. Chukua hatua... nenda kapime afya yako!
 
Reactions: HT
Rip petrus tyenyi!if i ascend to heaven,thou art there!if i make my bed in sheol,thou art there!psalms 139,verse 8(revised standard version)
 
Hakika kuna kazi nitawaonya wajukuu zangu wasizifanye Tanzania hata wawe na wito kiasi gani. Uzuri mmoja hata huko UWT una uhuru wa kukataa siku hizi si kama zamani ni shuruti. Rest in Peace marehemu na pole kwa mjane. Jamani mabinti kabla hamjaolewa uliza kwanza mume wako kazi yake na ihakikishe usije ukaachwa mjane na pengine wewe ni mama wa nyumbani.
 

Ni kwa vipi TISS imekua jumuiya kwenye chama tawala??? Msemaji wa TISS ni nani?????????????? Rubbish
 
It's very sad really. Where are we going? Kama mtu wa rank hiyo kafanyiwa hivyo je, kabwela kama mimi itakuwaje. Tumeshuhudia Dr. nani yule, na juzi pia hiyo mhariri wa habari. Du, aibu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…