Utata kifo cha hayati Abeid Karume

BAVICHA mnashida gani inamaana hata shule hamkwenda naona mambo y a shule za Msingi mnayauliza leo.


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha upumbavu we Taga wa Lumumba Street. Hata wewe hujui lolote zaidi ya kuanza kushambulia BAVICHA.
Marehemu Mzee Karume aliuawa tarehe 7/4/1972 kwa kupigwa risasi na Mwanajeshi mwenye cheo Cha Kapteni!
Kisa na Mkasa: Mjeshi alikuwa akilipiza kisasi cha baba yake aliyeuawa wakti wa Mapinduzi ya Zanzibar yakiongozwa na Mzee Karume.
 
Sikuwahi kufuatilia historia ya Karume kumbe kwa sehemu kubwa alikosa utu na busara yeye km kiongozi mkuu wa nchi.......
 
Kwa utata unaozungumzia inaonesha wewe ndiye mwenye faili la upelelezi wa kesi tajwa... una hakika muuaji wa Karume yupo jukwaa hili?
 
leo ndo nimejua muungano kiundani, asantw
 
Karume day ni siku ambayo huazimishwa kila ifikapo tarehe 07/04 kila mwaka kwa Tanzania nzima (Bara na visiwani).

Je, karume ni nani?
Sheikh Abeid Amani Karume alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Alizaliwa mwaka 1905 na kufariki tarehe 7 Aprili 1972 kwa kupigwa risasi.
Karume aliongoza nchi baada ya mapinduzi yaliyomwangusha Sultani aliyekuwa akitawala Zanzibar hadi mwanzoni mwa mwaka 1964.

Baada ya miezi mitatu Zanzibar iliungana na Tanganyika iliyokuwa ikiongozwa na Mwalimu Nyerere. Baada ya muungano wa nchi hizi mbili uliozaa Tanzania, Karume alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Karume day is loading...
07/04/2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…