Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na kuondoka naye, na baadaye ndio zikaja hizo taarifa za msiba.
Pia soma: TANZIA - Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili
Kwa jinsi matukio ya watu wasiyojulikana yanavyoshamiri, hili tukio kuna la zaidi ndani yake. Polisi waje watwambie ukweli, wasipindishe pindishe maneno na kutaka kuficha ukweli. Nini hasa kilitokea kwa Sheikh huyu?