raisi2020
Member
- Mar 4, 2016
- 82
- 83
Kuna sinto fahamu,kuna msiba ulitokea somewhere,MTU aliyekufa ni mwanaume,hakuwa ameoa,ila Mara ya mwisho ameishi na mwanamama mmoja takribani ten years bila ndoa mpaka mauti ilipomfika,ila huyu baba ana watoto wengi nje na wakubwa na family zao,sasa baada ya msiba kuna mchezo unafanywa wa kutaka kualalisha ndoa kwa kuandia cheti/hati ya kimila kwamba marehemu alimuoa yule mwanamke,he hili ni sahihi kwanza?pili lina athari gani kwa mirathi ya watoto endapo huyu mama kama atapata hicho cheti?na je? Kama hatapata hicho cheti hathari IPO wapi,ilihari watoto ni wakubwa na wanaweza kufuatili wenyewe