Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

Ngaliwe

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
164
Reaction score
374
Tunaendelea na mjadala mzito juu ya yale yaliyotajwa na CAG ni sahihi ,ndivo yalivo au ni mwendelezo wa juhudi za kufa na kupona kupoteza Legacy ya Jpm.

Nikiendelea kufanya utafiti wangu binafsi ,jana nilikitana na taarifa ya CLOUDS media wakitolea ufafanuzi tuhuma za kwamba walilipwa kiasi cha shiling 629.7m bila wao kutoa Risiti.

Katika mjadala huo Clouds walidai kwamba waliposikia taarifa hiyo ikabidi wafuatilie kwenye makabrasha yao wakagundua kwamba risiti walizitoa TRA (AUTOMATIC EFD) na Wizara.

#Hapa ndipo mjadala unaanza ;
1. Kama risiti zimetolewa TRA na Wizarani huko na Clouds wanaujasiri wakusema hilo ,basi kuna uwalakini katika auditing ya kichere kwamba huenda amelishwa matango pori kwa makudi, kwa madhaifu ya watenda kazi au kupangwa.

2. Kama wizarani au TRA hawakumpa kichere risti hizo basi hapo napo kuna shida , kwani hawakumpa? Kuna nia gani nyuma ya pazia? Kwasababu clouds wao wanadai walitoa.Huenda ndio maana hata Kigwangalla anachekelea kwasabab anajua mchezo unaoendelea.

3.Hili suala la risiti imefanyika mwak 2018, Kichere alipaswa kulisema kwenye ripoti ya mwaka jana na si mwaka huu.

Hapa napo kuna tafakuri kubwa , .Report ya Kichere ni ya matumizi ya serikali 2019/2020, suala la risti ni la 2018 ambalo likitakiwa kutajwa 2018/2019 ,ndio maana nina wasiwasi kwamba huenda report hii imeeditiwa na kupachikwa vitu ambavo watu fulani walikusudia kuvionyesha kwa jamii ili watimize yao.

4. Report ya CAG ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua imejikita kwenye mambo fulani ambayo mengine ni ya kwelini.

NA ILI UONGO USIJULIKANE KUWA NI UONGO LAZIMA UCHANGANYWE NA UKWELI.

Yaani unaambiwa juu ya stendi ya mbezi ITASABABISHA FOLENI , TENA KWA MIUNDO MBINU ILE ,YA NYEGEZI AMBAYO IPO KATIKATI YA MJI HATUJAAMBIWA KAMA ITASABABISHA FOLENI, DODOMA HATUJAAMBIWA ITASABABISHA FOLENI KISA INAITWA STEND YA MAGUFULI na ndo bora na kubwa kuriko zote, jitihada za kufuta Legacy ya jpm.
Unaambiwa juu ya SGR, yaani unatajiwa SGR imesababisha hasara zaidi ya 3b hatuambiwi imeingiza faida kiasi gani , mashaka matupu, nilitegemea atuambie na upande wa pili imeingizia faida kiasi gani.

Kwahiyo utagundua wazi kuwa hii report kama imepikwa ili kuweza kuharibu taswira ya jpm

5.Kuna taarifa ya siri kwamba report hii tayari ilikuwa imeshaandaliwa na CAG lakini kuanzia trh 18.3.2021 ,ilianza kufanyiwa editing ,kwa maelekezo/maagizo kutoka juu.
Ingawa taarifa hizi si rasimi lakini ninaweza kuziamini.

-Cag alianza kwa kutoa taarifa nusu ,akagusia suala la ndege watu wakaibuka na kulaumu ,ndege imekula hasara ya 60b ,wakajitokeza watetezi na kusema hio mbona hasara ndogo, ikawa imeisha.
Kama iliandaliwa tangu mwaka jana ,kwanini alitoa taarifa nusu? Au tuseme editing ilikuwa haijakamilika?
-Kama watu wanasema haya yanatokea kwasababu jpm hakutaka kukosolewa ,tujiuliza hii report imeandaliwa lini ? Wakati au baada ya kifo cha jpm? Kama ni kabla ya jpm ,basi tukubali kuna editing ya taarifa kwa maana jpm asingeikubali(kutokana na hoja zenu kuwa hakutaka kukosolewa).
Kama ilieditiwa kwa maagizo ya nani ? Kwamakusudi gani?

KAMA HATUKUSIKIA HIZO HASARA ZA NDEGE MWAKA JANA , LEO HII TENA MUDA MFUPI KWAMBA ZIMESABABISHA HASARA ,KUNA MASHAKA MAKUBWA.
Nataka kusema kwamba Huenda kichere na timu yake kwa maagizo toka juu alichambua MIRADI ILIYOKUWA INAMPAISHA JPM Na kuweka figisu ilimradi kuonyesha haifai , alikulupuka au alipiga hela kutimiza matakwa ya hao walioko juu.
#Kama ni maagizo ya kikwete ,basi ili kutimiza lengo lake kuanzisha mfumo wake wa ponda mali kifo kinakuja.
#Kama ni Samia ni kutaka kufuta kivuli cha jpm kwenye uongozi wake , yaani yeye si kama jpm ,yeye ni bora zaidi.

MWISHO
JPM aliwahi kusema "ukiona adui yako anakushangilia sana rudi nyuma ujiulize umekosea wapi"

NAONA GIZA NENE MBELE YA URAIS WA SSH, NAONA NCHI INARUDI KWENYE KIKWETISM .NAONA MIKATABA MIPYA YA MADINI ,MIKATABA MIPYA BOMBA LA KUTOKA TANGA HADI HOIMA.

LAKINI YOTE KATI YOTE NASEMA KWAMBA " WANANCHI WENGI HASA WANACCM WANAIMANI KUBWA NA JPM NA WAKO TYR KUSIMAMA NAYE MPKA MWISHO".
UPEPO HUU UTAPITA , REPORT ZITASOMWA ZITATAJWA HASARA ZA MABILIONI WATU WATASHANGILIA ,MWISHO WATU WATASAHAU LAKINI MIRADI ALIYOIANZISHA JPM ITADUMU VIZAZI HADI VIZAZI.

Asilimia kubwa ya wanaccm hivi sasa hawana imani tena na SSH ,WENGI WAKO KIMYA ILA WANAJUA WATAFANYA NINI .
Yaani asilolijua SSH na wenzake watu wengi wanamkubali JPM kuriko hata ccm, wapinzani wengi kama kafulila wanamkubali JPM kuriko ccm.Wengi wanaomshangilia ni wa upinzani ambao nao wanamtumia tu.

ASANTE JOHN
 
Query za CAG zinajibiwa kwa documents na mazungumzo na CAG na siyo kwenye vyombo vya habari.

Kila aliyeguswa na CAG akikimbilia kwenye media itakuwaje?

Hao Clouds wako tayari kumpa airtime yeyote aliyetajwa na CAG kujisafisha? Au kwa sababu tu wao wana media wanaamua kuachana na ethics za auditing wanakimbilia kutafuta huruma ya watu?
 
Query za CAG zinajibiwa kwa mazunhgumzo na CAG na siyo kwenye vyombo vya habari.

Kila aliyeguswa na CAG akikimbilia kwenye media itakuwaje?
CAG akifika ofisn anaomba mapato na matumizi
Anaomba receipt
Anaomba bank statement
Anaomba dokezo la bajeti
Clouds ni supplier yeye ana deal na wizara waliowalipa clouds bila utaratibu-
 
POVUUUUU... JIZI HATA ALIJAOZA MAUOZO KIBAO
Tunaendelea na mjadala mzito juu ya yale yaliyotajwa na CAG ni sahihi ,ndivo yalivo au ni mwendelezo wa juhudi za kufa na kupona kupoteza Legacy ya jpm.

Nikiendelea kufanya utafiti wangu binafsi ,jana nilikitana na taarifa ya CLOUDS media wkitolea ufafanuzi tuhuma za kwamba walilipwa kiasi cha shiling 629.7m bila wao kutoa Risti.
Katika mjadala huo clouds walidai kwamba waliposikia taarifa hiyo ikabidi wafuatilie kwenye makabrasha yao wakagundua kwamba RISTI WALIZITOA TRA (AUTOMATIC EFD) NA WIZARA.

#Hapa ndipo mjadala unaanza ;
1.kama risti zimetolewa TRA na wizarani huko na clouds wanaujasiri wakusema hilo ,basi kuna uwalakini katika auditing ya kichere kwamba huenda amelishwa matango pori kwa makudi, kwa madhaifu ya watenda kazi au kupangwa.

2.Kama wizarani au TRA hawakumpa kichere risti hizo basi hapo napo kuna shida , kwani hawakumpa? Kuna nia gani nyuma ya pazia? Kwasababu clouds wao wanadai walitoa.Huenda ndio maana hata Kigwangala anachekelea kwasabab anajua mchezo unaoendelea.

3.Hili suala la risti imefanyika mwak 2018, kichere alipaswa kulisema kwenye repot ya mwaka jana na si mwaka huu.
Hapa napo kuna tafakuri kubwa , .Report ya kichere ni ya matumizi ya serikali 2019/2020, suala la risti ni la 2018 ambalo likitakiwa kutajwa 2018/2019 ,ndio maana ninawasiwasi kwamba huenda report hii imeditiwa na kupachikwa vitu ambavo watu fulani walikusudia kuvionyesha kwa jamii ili watimize yao.

4.Report ya Cag ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua imejikita kwenye mambo fulani ambayo mengine ni ya kwelin.

NA ILI UONGO USIJULIKANE KUWA NI UONGO LAZIMA UCHANGANYWE NA UKWELI.

Yaani unaambiwa juu ya stendi ya mbezi ITASABABISHA FOLENI , TENA KWA MIUNDO MBINU ILE ,YA NYEGEZI AMBAYO IPO KATIKATI YA MJI HATUJAAMBIWA KAMA ITASABABISHA FOLENI, DODOMA HATUJAAMBIWA ITASABABISHA FOLENI KISA INAITWA STEND YA MAGUFULI na ndo bora na kubwa kuriko zote, jitihada za kufuta Legacy ya jpm.
Unaambiwa juu ya SGR, yaani unatajiwa SGR imesababisha hasara zaidi ya 3b hatuambiwi imeingiza faida kiasi gani , mashaka matupu, nilitegemea atuambie na upande wa pili imeingizia faida kiasi gani.

Kwahiyo utagundua wazi kuwa hii report kama imepikwa ili kuweza kuharibu taswira ya jpm

5.Kuna taarifa ya siri kwamba report hii tayari ilikuwa imeshaandaliwa na CAG lakini kuanzia trh 18.3.2021 ,ilianza kufanyiwa editing ,kwa maelekezo/maagizo kutoka juu.
Ingawa taarifa hizi si rasimi lakini ninaweza kuziamini.

-Cag alianza kwa kutoa taarifa nusu ,akagusia suala la ndege watu wakaibuka na kulaumu ,ndege imekula hasara ya 60b ,wakajitokeza watetezi na kusema hio mbona hasara ndogo, ikawa imeisha.
Kama iliandaliwa tangu mwaka jana ,kwanini alitoa taarifa nusu? Au tuseme editing ilikuwa haijakamilika?
-Kama watu wanasema haya yanatokea kwasababu jpm hakutaka kukosolewa ,tujiuliza hii report imeandaliwa lini ? Wakati au baada ya kifo cha jpm? Kama ni kabla ya jpm ,basi tukubali kuna editing ya taarifa kwa maana jpm asingeikubali(kutokana na hoja zenu kuwa hakutaka kukosolewa).
Kama ilieditiwa kwa maagizo ya nani ? Kwamakusudi gani?

KAMA HATUKUSIKIA HIZO HASARA ZA NDEGE MWAKA JANA , LEO HII TENA MUDA MFUPI KWAMBA ZIMESABABISHA HASARA ,KUNA MASHAKA MAKUBWA.
Nataka kusema kwamba Huenda kichere na timu yake kwa maagizo toka juu alichambua MIRADI ILIYOKUWA INAMPAISHA JPM Na kuweka figisu ilimradi kuonyesha haifai , alikulupuka au alipiga hela kutimiza matakwa ya hao walioko juu.
#Kama ni maagizo ya kikwete ,basi ili kutimiza lengo lake kuanzisha mfumo wake wa ponda mali kifo kinakuja.
#Kama ni Samia ni kutaka kufuta kivuli cha jpm kwenye uongozi wake , yaani yeye si kama jpm ,yeye ni bora zaidi.

MWISHO
JPM aliwahi kusema "ukiona adui yako anakushangilia sana rudi nyuma ujiulize umekosea wapi"

NAONA GIZA NENE MBELE YA URAIS WA SSH, NAONA NCHI INARUDI KWENYE KIKWETISM .NAONA MIKATABA MIPYA YA MADINI ,MIKATABA MIPYA BOMBA LA KUTOKA TANGA HADI HOIMA.

LAKINI YOTE KATI YOTE NASEMA KWAMBA " WANANCHI WENGI HASA WANACCM WANAIMANI KUBWA NA JPM NA WAKO TYR KUSIMAMA NAYE MPKA MWISHO".
UPEPO HUU UTAPITA , REPORT ZITASOMWA ZITATAJWA HASARA ZA MABILIONI WATU WATASHANGILIA ,MWISHO WATU WATASAHAU LAKINI MIRADI ALIYOIANZISHA JPM ITADUMU VIZAZI HADI VIZAZI.

Asilimia kubwa ya wanaccm hivi sasa hawana imani tena na SSH ,WENGI WAKO KIMYA ILA WANAJUA WATAFANYA NINI .
Yaani asilolijua SSH na wenzake watu wengi wanamkubali JPM kuriko hata ccm, wapinzani wengi kama kafulila wanamkubali JPM kuriko ccm.Wengi wanaomshangilia ni wa upinzani ambao nao wanamtumia tu.

ASANTE JOHN
 
Heri kuwa na mwizi anaefanya vitu vya kuonekana!

Vitu gani hivyo vya kuonekana?!hakuna project ya kufuli iliyofanikiwa kuzidi 30% mpaka amefariki,na huu ndiyo ukweli!

Kwanini mnaiogopa maiti?!!mtu akishakufa kafa,ubaya na uzuri wake lazma uwe wazi hasa kwa huyu aliyejiona yeye ni malaika mkuu

Kama mnampenda sanaaa si mngegoma asizikwe ili muwe naye kwenye masebule yenu?!!
 
Sukuma Gang mna kazi sana awamu hii
 
Back
Top Bottom