Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

RUBBISH!
Tunaendelea na mjadala mzito juu ya yale yaliyotajwa na CAG ni sahihi ,ndivo yalivo au ni mwendelezo wa juhudi za kufa na kupona kupoteza Legacy ya jpm.

Nikiendelea kufanya utafiti wangu binafsi ,jana nilikitana na taarifa ya CLOUDS media wkitolea ufafanuzi tuhuma za kwamba walilipwa kiasi cha shiling 629.7m bila wao kutoa Risti.
Katika mjadala huo clouds walidai kwamba waliposikia taarifa hiyo ikabidi wafuatilie kwenye makabrasha yao wakagundua kwamba RISTI WALIZITOA TRA (AUTOMATIC EFD) NA WIZARA.

#Hapa ndipo mjadala unaanza ;
1.kama risti zimetolewa TRA na wizarani huko na clouds wanaujasiri wakusema hilo ,basi kuna uwalakini katika auditing ya kichere kwamba huenda amelishwa matango pori kwa makudi, kwa madhaifu ya watenda kazi au kupangwa.

2.Kama wizarani au TRA hawakumpa kichere risti hizo basi hapo napo kuna shida , kwani hawakumpa? Kuna nia gani nyuma ya pazia? Kwasababu clouds wao wanadai walitoa.Huenda ndio maana hata Kigwangala anachekelea kwasabab anajua mchezo unaoendelea.

3.Hili suala la risti imefanyika mwak 2018, kichere alipaswa kulisema kwenye repot ya mwaka jana na si mwaka huu.
Hapa napo kuna tafakuri kubwa , .Report ya kichere ni ya matumizi ya serikali 2019/2020, suala la risti ni la 2018 ambalo likitakiwa kutajwa 2018/2019 ,ndio maana ninawasiwasi kwamba huenda report hii imeditiwa na kupachikwa vitu ambavo watu fulani walikusudia kuvionyesha kwa jamii ili watimize yao.

4.Report ya Cag ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua imejikita kwenye mambo fulani ambayo mengine ni ya kwelin.

NA ILI UONGO USIJULIKANE KUWA NI UONGO LAZIMA UCHANGANYWE NA UKWELI.

Yaani unaambiwa juu ya stendi ya mbezi ITASABABISHA FOLENI , TENA KWA MIUNDO MBINU ILE ,YA NYEGEZI AMBAYO IPO KATIKATI YA MJI HATUJAAMBIWA KAMA ITASABABISHA FOLENI, DODOMA HATUJAAMBIWA ITASABABISHA FOLENI KISA INAITWA STEND YA MAGUFULI na ndo bora na kubwa kuriko zote, jitihada za kufuta Legacy ya jpm.
Unaambiwa juu ya SGR, yaani unatajiwa SGR imesababisha hasara zaidi ya 3b hatuambiwi imeingiza faida kiasi gani , mashaka matupu, nilitegemea atuambie na upande wa pili imeingizia faida kiasi gani.

Kwahiyo utagundua wazi kuwa hii report kama imepikwa ili kuweza kuharibu taswira ya jpm

5.Kuna taarifa ya siri kwamba report hii tayari ilikuwa imeshaandaliwa na CAG lakini kuanzia trh 18.3.2021 ,ilianza kufanyiwa editing ,kwa maelekezo/maagizo kutoka juu.
Ingawa taarifa hizi si rasimi lakini ninaweza kuziamini.

-Cag alianza kwa kutoa taarifa nusu ,akagusia suala la ndege watu wakaibuka na kulaumu ,ndege imekula hasara ya 60b ,wakajitokeza watetezi na kusema hio mbona hasara ndogo, ikawa imeisha.
Kama iliandaliwa tangu mwaka jana ,kwanini alitoa taarifa nusu? Au tuseme editing ilikuwa haijakamilika?
-Kama watu wanasema haya yanatokea kwasababu jpm hakutaka kukosolewa ,tujiuliza hii report imeandaliwa lini ? Wakati au baada ya kifo cha jpm? Kama ni kabla ya jpm ,basi tukubali kuna editing ya taarifa kwa maana jpm asingeikubali(kutokana na hoja zenu kuwa hakutaka kukosolewa).
Kama ilieditiwa kwa maagizo ya nani ? Kwamakusudi gani?

KAMA HATUKUSIKIA HIZO HASARA ZA NDEGE MWAKA JANA , LEO HII TENA MUDA MFUPI KWAMBA ZIMESABABISHA HASARA ,KUNA MASHAKA MAKUBWA.
Nataka kusema kwamba Huenda kichere na timu yake kwa maagizo toka juu alichambua MIRADI ILIYOKUWA INAMPAISHA JPM Na kuweka figisu ilimradi kuonyesha haifai , alikulupuka au alipiga hela kutimiza matakwa ya hao walioko juu.
#Kama ni maagizo ya kikwete ,basi ili kutimiza lengo lake kuanzisha mfumo wake wa ponda mali kifo kinakuja.
#Kama ni Samia ni kutaka kufuta kivuli cha jpm kwenye uongozi wake , yaani yeye si kama jpm ,yeye ni bora zaidi.

MWISHO
JPM aliwahi kusema "ukiona adui yako anakushangilia sana rudi nyuma ujiulize umekosea wapi"

NAONA GIZA NENE MBELE YA URAIS WA SSH, NAONA NCHI INARUDI KWENYE KIKWETISM .NAONA MIKATABA MIPYA YA MADINI ,MIKATABA MIPYA BOMBA LA KUTOKA TANGA HADI HOIMA.

LAKINI YOTE KATI YOTE NASEMA KWAMBA " WANANCHI WENGI HASA WANACCM WANAIMANI KUBWA NA JPM NA WAKO TYR KUSIMAMA NAYE MPKA MWISHO".
UPEPO HUU UTAPITA , REPORT ZITASOMWA ZITATAJWA HASARA ZA MABILIONI WATU WATASHANGILIA ,MWISHO WATU WATASAHAU LAKINI MIRADI ALIYOIANZISHA JPM ITADUMU VIZAZI HADI VIZAZI.

Asilimia kubwa ya wanaccm hivi sasa hawana imani tena na SSH ,WENGI WAKO KIMYA ILA WANAJUA WATAFANYA NINI .
Yaani asilolijua SSH na wenzake watu wengi wanamkubali JPM kuriko hata ccm, wapinzani wengi kama kafulila wanamkubali JPM kuriko ccm.Wengi wanaomshangilia ni wa upinzani ambao nao wanamtumia tu.

ASANTE JOHN
 
Unajipa kazi.

Yaan ukweli wa ni huui wa sasa aloutoa.

Wakat wa Jiwe ,jiwe mwenyewe ndo alikua mtengeneza report anampa Kichere aisome mbele ya Makamera

Ila saizi Hayati anapigwa kote kote kwa ukweli.

Alichofanya Kichere, hata km ni Edit ,ndo kachomekea ukweli tuloukosa miaka yote mitano.

Nasa yongo ndugu zangu???.
 
Haya madudu yote anabebeshwa mzigo marehemu tu ila viongozi ambao walikuwepo kwenye hiyo serikali yenye hayo madudu wamekaa kimya kama hawahusiki na lolote vile ndio kwanza tunasisitiziwa kuwa hii ni serikali ya awamu ya sita na Mama ndio kwanza anamwambia CAG asema tu bila kumung'unya. Nadhani ingekuwa nchi za wenzetu kuna watu lazima wangewajibika ila ndio hivyo huku watu wanaishia kufurahia kufa kwa Magufuli na haya madudu yote kuelekezwa kwa Magufuli tu.
 
Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......
 
Nani anawalipwa na anawalipa Tsh ngapi kutetea dhuluma mbona mnatumia nguvu kubwa kupambana na reports ya CAG?
 
Tunaendelea na mjadala mzito juu ya yale yaliyotajwa na CAG ni sahihi ,ndivo yalivo au ni mwendelezo wa juhudi za kufa na kupona kupoteza Legacy ya jpm.

Nikiendelea kufanya utafiti wangu binafsi ,jana nilikitana na taarifa ya CLOUDS media wkitolea ufafanuzi tuhuma za kwamba walilipwa kiasi cha shiling 629.7m bila wao kutoa Risti.
Katika mjadala huo clouds walidai kwamba waliposikia taarifa hiyo ikabidi wafuatilie kwenye makabrasha yao wakagundua kwamba RISTI WALIZITOA TRA (AUTOMATIC EFD) NA WIZARA.

#Hapa ndipo mjadala unaanza ;
1.kama risti zimetolewa TRA na wizarani huko na clouds wanaujasiri wakusema hilo ,basi kuna uwalakini katika auditing ya kichere kwamba huenda amelishwa matango pori kwa makudi, kwa madhaifu ya watenda kazi au kupangwa.

2.Kama wizarani au TRA hawakumpa kichere risti hizo basi hapo napo kuna shida , kwani hawakumpa? Kuna nia gani nyuma ya pazia? Kwasababu clouds wao wanadai walitoa.Huenda ndio maana hata Kigwangala anachekelea kwasabab anajua mchezo unaoendelea.

3.Hili suala la risti imefanyika mwak 2018, kichere alipaswa kulisema kwenye repot ya mwaka jana na si mwaka huu.
Hapa napo kuna tafakuri kubwa , .Report ya kichere ni ya matumizi ya serikali 2019/2020, suala la risti ni la 2018 ambalo likitakiwa kutajwa 2018/2019 ,ndio maana ninawasiwasi kwamba huenda report hii imeditiwa na kupachikwa vitu ambavo watu fulani walikusudia kuvionyesha kwa jamii ili watimize yao.

4.Report ya Cag ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua imejikita kwenye mambo fulani ambayo mengine ni ya kwelin.

NA ILI UONGO USIJULIKANE KUWA NI UONGO LAZIMA UCHANGANYWE NA UKWELI.

Yaani unaambiwa juu ya stendi ya mbezi ITASABABISHA FOLENI , TENA KWA MIUNDO MBINU ILE ,YA NYEGEZI AMBAYO IPO KATIKATI YA MJI HATUJAAMBIWA KAMA ITASABABISHA FOLENI, DODOMA HATUJAAMBIWA ITASABABISHA FOLENI KISA INAITWA STEND YA MAGUFULI na ndo bora na kubwa kuriko zote, jitihada za kufuta Legacy ya jpm.
Unaambiwa juu ya SGR, yaani unatajiwa SGR imesababisha hasara zaidi ya 3b hatuambiwi imeingiza faida kiasi gani , mashaka matupu, nilitegemea atuambie na upande wa pili imeingizia faida kiasi gani.

Kwahiyo utagundua wazi kuwa hii report kama imepikwa ili kuweza kuharibu taswira ya jpm

5.Kuna taarifa ya siri kwamba report hii tayari ilikuwa imeshaandaliwa na CAG lakini kuanzia trh 18.3.2021 ,ilianza kufanyiwa editing ,kwa maelekezo/maagizo kutoka juu.
Ingawa taarifa hizi si rasimi lakini ninaweza kuziamini.

-Cag alianza kwa kutoa taarifa nusu ,akagusia suala la ndege watu wakaibuka na kulaumu ,ndege imekula hasara ya 60b ,wakajitokeza watetezi na kusema hio mbona hasara ndogo, ikawa imeisha.
Kama iliandaliwa tangu mwaka jana ,kwanini alitoa taarifa nusu? Au tuseme editing ilikuwa haijakamilika?
-Kama watu wanasema haya yanatokea kwasababu jpm hakutaka kukosolewa ,tujiuliza hii report imeandaliwa lini ? Wakati au baada ya kifo cha jpm? Kama ni kabla ya jpm ,basi tukubali kuna editing ya taarifa kwa maana jpm asingeikubali(kutokana na hoja zenu kuwa hakutaka kukosolewa).
Kama ilieditiwa kwa maagizo ya nani ? Kwamakusudi gani?

KAMA HATUKUSIKIA HIZO HASARA ZA NDEGE MWAKA JANA , LEO HII TENA MUDA MFUPI KWAMBA ZIMESABABISHA HASARA ,KUNA MASHAKA MAKUBWA.
Nataka kusema kwamba Huenda kichere na timu yake kwa maagizo toka juu alichambua MIRADI ILIYOKUWA INAMPAISHA JPM Na kuweka figisu ilimradi kuonyesha haifai , alikulupuka au alipiga hela kutimiza matakwa ya hao walioko juu.
#Kama ni maagizo ya kikwete ,basi ili kutimiza lengo lake kuanzisha mfumo wake wa ponda mali kifo kinakuja.
#Kama ni Samia ni kutaka kufuta kivuli cha jpm kwenye uongozi wake , yaani yeye si kama jpm ,yeye ni bora zaidi.

MWISHO
JPM aliwahi kusema "ukiona adui yako anakushangilia sana rudi nyuma ujiulize umekosea wapi"

NAONA GIZA NENE MBELE YA URAIS WA SSH, NAONA NCHI INARUDI KWENYE KIKWETISM .NAONA MIKATABA MIPYA YA MADINI ,MIKATABA MIPYA BOMBA LA KUTOKA TANGA HADI HOIMA.

LAKINI YOTE KATI YOTE NASEMA KWAMBA " WANANCHI WENGI HASA WANACCM WANAIMANI KUBWA NA JPM NA WAKO TYR KUSIMAMA NAYE MPKA MWISHO".
UPEPO HUU UTAPITA , REPORT ZITASOMWA ZITATAJWA HASARA ZA MABILIONI WATU WATASHANGILIA ,MWISHO WATU WATASAHAU LAKINI MIRADI ALIYOIANZISHA JPM ITADUMU VIZAZI HADI VIZAZI.

Asilimia kubwa ya wanaccm hivi sasa hawana imani tena na SSH ,WENGI WAKO KIMYA ILA WANAJUA WATAFANYA NINI .
Yaani asilolijua SSH na wenzake watu wengi wanamkubali JPM kuriko hata ccm, wapinzani wengi kama kafulila wanamkubali JPM kuriko ccm.Wengi wanaomshangilia ni wa upinzani ambao nao wanamtumia tu.

ASANTE JOHN
Umeeandika UTOPOLO bhana
 
Naona na Like ya Mzee Mwanakijiji 🤔🤔🤔🤔🤔
 
NDUGAI mwaka huu atampa ushirikiano CAG au ndio ataendeleza msimamo aliokuwa nao kwa Prof Assad..!???
 
Kumbe tupo wengi tulioliona hili!? Hawa jamaa mchezo wanaoufanya tunawacheki tu! Lakini mwisho wao utakuwa wa aibu kubwa! Magu atawatesa zaidi akiwa kwenye raha ya milele na mwanga wa milele kuliko alivyowatesa akiwa na mwili wa nyama! Rip our true son of Africa 💔😢, rest in power 💪 🙏 our true African hero! We won't forget your kindness 😊!
 
Magufuli mwenyewe ndo alikuwa mweka hazina.
 
Chawa mtapata taabu sana!

Magufuli aliharibu regacy yake mwenyewe kwa kuzuia uhuru wa vyombo vya habari na kuamua kutawala gizani. Kama alikuwa msafi...alikuwa anaficha nini?

Ofisi ya CAG ni ofisi ya umma inayojeshimika. Taarifa zao ni za kuaminika. Kuanzia kwa Prod Assad,taarifa zote zinafanana,hakuna jipya kwenye hii ya mwaka huu! Jambo jipya ni moja tu,Magufuli hayupo! Kwa hiyo,taarifa inajadiliwa kwa uwazi.
 
Unasema alitoa taarifa nusu unamaana gani ?, kama ni ile taarifa aliitoa wakati wa kukabidhi ripoti kwa mh. Rais ndio unasema alitoantaarifa nusu hiininaonyesha hujui au huna uelewa wa kutosha kuhusu ripoti hizi zinazotolewa na CAG. labda nikufahamishe kimsingi ripoti hizi zinakuwa "mali ya umma" zinapowasilishwa bungeni kwa mjadala, bunge hapo huipitia na kutoa mapendekezo na miongozo mbalimbali pale panapokuwa na umuhimu wa kufanya hivyo, sababu ripoti hizo zinakuwa 'mali ya umma' ndio umma huweza kupata ripoti hii na kuweza kuisoma na kujadili, na ni wakati huu huwekwa katika tovuto ya ofisi ya CAG.
Kimsingi 'kiasili' ripoti hii huandaliwa mahsusi kwaajili ya bunge (na ndio chanzo cha prof Assad kuita bunge 'dhaifu' kwa kushindwa kuchukua hatua) ili kufanya mapitio ya, na ukaguzi wa mahesabu ya fedha za umma. Sasa basi, hakuna kilichosomwa 'nusu' kama ulivyodhani, ule ni utaratibu wa kawaida.
Pili, inapogundulika mtumishi fulani wa umma amefanya ubadhirifu nia kuzifahamisha mamlaka zinazohusika kuhusu ubadhirifu huo ili ziweze kuchukua hatua stahiki, sasa kama kuna aliyefanya ubadhirifu, waziri kwa mfano, yeye ndiye anakuwa ameguswa anayepaswa kuwajibishwa juhudi zozote za kumlinda zinazofanywa ima na mamlaka za juu yake au wapiga nderemo na wanaotamani upiga nderemo wa mbadhirifu huyo zitaishia kumchafua mwenye mamlaka na kuonyesha ushiriki wake ktk uhalifu uliofichuliwa.
 
!
Magufuli alikuwa ni mwizi wa rasilimali za uma.
20210407_172745.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom