Utata: Safari za nje, bata na utajiri wa Ommy Dimpoz kuunganishwa na anayehisiwa kuwa zungu la unga Mombasa

Utata: Safari za nje, bata na utajiri wa Ommy Dimpoz kuunganishwa na anayehisiwa kuwa zungu la unga Mombasa

Huwa nachoka pale wanapougua na kuanza kuomba michango ndani ya mda mfupi sana
 
View attachment 1174066

View attachment 1174069

View attachment 1174071


tajiri ambae pia ni gavana wa Mombasa, Kenya ambae anaefahamika kwa jina la Joho kashutumiwa Mara kwa mara na watu wengi tofauti kuwa anahusika na uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, hata kuna baadhi ya mateja walikiri live kwamba joho anahusika moja kwa moja na uraibu wao wa madawa.

Madawa ya kulevya ni biashara yenye pesa ndefu sana na wahusika hupiga mabilioni kama mchezo hivi.

Sasa vujiweni kumeibuka shutuma ya ukaribu wa ommy dimpoz na Huyu joho kwa zile bata anazopiga ommy na safari za kila Mara nje ya nchi, mtaani kuna tetesi kwamba kijana wetu huenda kaanza kubeba mzigo kwa malipo safi ya pesa taslimu.

Ila kwa upande mwengine hizi shutuma zinaweza zikawa fitina tu, Huenda ommy dimpoz ana shows nyingi sana au ana biashara zake nyingi tu ambazo zinamfanya aweze kuyamudu maisha ya ki superstar ila wahenga walishasema ngoma ikivuma sana mwisho wa hupasuka
Ni wivu tu, tena wivu wa kike huu.
 
Back
Top Bottom