The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Kuna siku moja nilipitia kitabu kimoja cha shule ya msingi nafikiri kilikuwa darasa la vii au vi,nikaona katika kupepesa macho nikakutana na sentensi inayoelezea mwaka ambao South Africa walipata uhuru.Kilibainisha kuwa S.A imepata uhuru miaka ya 1990+ sikumbuki hasa ila nadhani baada ya ule ubaguzi wa rangi.Sasa tangu awali mimi nilikuwa najua ule wa miaka ya 1931 nafikiri but kabla ya hapo walikuwa na ile ya 1910.Sasa hapo ni siku ipi inayoadhimishwa kuwa ni siku ya uhuru huko S.A
Na kama ni 1990+ je waliupata kutoka kwa nani,je nchi inaweza kuwa na uhuru(independence day)kutoka kwa jamii ya watu wake wa ndani na sio nchi kutoka sehemu nyingine kama tulivyozoea U.K,Hispania,Ureno n.k
mwenye ufaham anaweza elezea ni kwanini S.A ina vipindi vitatu vya uhuru