Utata: Uhuru wa Afrika Kusini

Utata: Uhuru wa Afrika Kusini

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Kuna siku moja nilipitia kitabu kimoja cha shule ya msingi nafikiri kilikuwa darasa la vii au vi,nikaona katika kupepesa macho nikakutana na sentensi inayoelezea mwaka ambao South Africa walipata uhuru.Kilibainisha kuwa S.A imepata uhuru miaka ya 1990+ sikumbuki hasa ila nadhani baada ya ule ubaguzi wa rangi.Sasa tangu awali mimi nilikuwa najua ule wa miaka ya 1931 nafikiri but kabla ya hapo walikuwa na ile ya 1910.Sasa hapo ni siku ipi inayoadhimishwa kuwa ni siku ya uhuru huko S.A

Na kama ni 1990+ je waliupata kutoka kwa nani,je nchi inaweza kuwa na uhuru(independence day)kutoka kwa jamii ya watu wake wa ndani na sio nchi kutoka sehemu nyingine kama tulivyozoea U.K,Hispania,Ureno n.k

mwenye ufaham anaweza elezea ni kwanini S.A ina vipindi vitatu vya uhuru
 
uhuru wa halali unaohesabika south africa kwa watu wote na uliojulikan kam majority independence ilikuw ni mwak 1994 na waliupat toka kwa makaburu wa netherland (uholanzi) . ule uhuru wa 1910 ulikuw uhuru wa wazungu ama ulijulikana kam minority independence na watu weuc waliendelea kubaguliw chin ya sera iliyoitw apartheid policy mpak uhur wa wa2 wote ulipopatkan mwak 1994 na ndio mwak unajulikan wa uhur wa wa2 wot wa S.A
 
Back
Top Bottom