Utata wa idadi ya followers wa Diamond huko Youtube

Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi.

Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check kabla ya kuweka kwenye instagram account?

Account inayoongoza kwa followers Youtube ina followers milioni 240.

Kama Diamond ana followers bilioni 7 basi maana yake dunia nzima yote imemfollow kule youtube including wale ambao hawako Youtube.

Stop fake newsโ€ฆ!

View attachment 2603744
Wewe utakuwa ni mkenya mna chuki na wasanii watz
 
Wewe obviously ni mpumbavu. Mjinga na mshenzi mwenye akili chache. Wewe unashindwa kupiga hesabu hapo ukaona huo ni uongo? Matoto ya siku hizi mambumbu saana. Zumbukuku mkubwa
 
Walicho kosea hapo Jf ni nini sasa ๐Ÿ˜ก,
 
Wewe obviously ni mpumbavu. Mjinga na mshenzi mwenye akili chache. Wewe unashindwa kupiga hesabu hapo ukaona huo ni uongo? Matoto ya siku hizi mambumbu saana. Zumbukuku mkubwa
Mpumbavu ni baba yako,if ur horny go and fuc...k urself,bomboclaat
 
Mtoa mada yupo sahihi, tatizo ni hao JF uchwara wamesema diamond ana wafuasi 7B, wafuasi ni wale wanaokufatilia yani subscribers.
 
Kwenye hy POST, JF ndio mambumbu kama kawaida yao.
 
Huna akili
Screenshot_20230829-223747.png

Acha kukaa kwa shemeji yako.. Unamajazia choo shemeji yako. ๐Ÿ˜ก
 
Mpumbavu ni baba yako,if ur horny go and fuc...k urself,bomboclaat
We matacall nitakuja nikupenyezee mtarimbo huko unyabeni kwako nikuvunje huo uti wa mgongo. Nitapasua sehemu zenu za haja wewe na wazazi wako , lafa wewe
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Matusi HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi.

Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check kabla ya kuweka kwenye instagram account?

Account inayoongoza kwa followers Youtube ina followers milioni 240.

Kama Diamond ana followers bilioni 7 basi maana yake dunia nzima yote imemfollow kule youtube including wale ambao hawako Youtube.

Stop fake newsโ€ฆ!

View attachment 2603744
Hivi hujui kuwa social network.mtu mmoja anaweza kuwa na akaunti tano.Hebu tufanye mambo muhimu,tuhakikishe tunakila nantuna furaha,haya mengine ni magumu
 
Mzee haiwezekani. Muda wanapost hiyo, mtu mwenye followers wengi youtube alikuwa nao 240 milioni. Sasa diamond anapataje bil 7? Bil 7 ni population ya dunia? Ina maana hata ambao hawako youtube wamemfollow diamond? Ni mtu mjinga pekee anaweza kukubaliana na hili
 
Relax
 
Back
Top Bottom