Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma



Joseph Kabila kasoma Forodhani Sekondari
 
mweshimiwa amekufa tarehe saba mwezi wa nne, swali; maonyesho ya sabasaba yanahusikaje hapa? mbona mnapotezea swali la msingi?
[quote uid=263902 name="Wissman" post=25034200]lakini sio mwezi wa nne mkuu[/QUOTE]<br />

Jaribu kufatilia kumbukumbu zako siku iz kuna Google hebu jaribu fuatilia Kwanzaa dk ally alifariki lini ndo maana nakwambia vitu vidogo hvyo ungeacha tu utajiharibia
 
kwa kumbukumbu zangu,yalikuwa ni maonesho ya saba saba mnamo mwaka 2001 ambapo Rais Kabila alialikwa na museveni PLUS viongozi wengine. kama unakumbuka, mwaka huo ndo kipindi majeshi ya Uganda na Rwanda walikuwa vitani nchini DRC.

Kuna issues nyingi za kidiplomasia zilikuwa haziendi vizuri ingawa zilikuwa hazitangazwi na Raia wa kawaida walikuwa hawawezi kujua. ili Congo iweze kuwa na Amani, Museveni hakutakiwa kuwepo kwani ndo alikuwa threat.

hata hivyo, mwaka 2000 majeshi ya uganda na rwanda walishazipiga wakiwa kwenye ardhi ya DRC...na PK alinukuliwa akisema..."kwamba M7 anamdharau, then atamuonyesha kuwa siyo tena bwana mdogo". ndo mpango ulipofanyika wa kumuua M7...na wakatega sumu kwenye Mic! simkumbuki mzungumzaji aliyetangulia...but ilikuwa ni zamu ya Museveni.

wakati M7 anajiandaa kutoa speech, bodyguard wake aliitoa ile mic kwa speed ya RADI na kuchomeka mic nyingine aliyokuwa nayo mfukoni. after speech, akarudishia ile ya awali. aliyefuata kutoa speech akawa DR. Omary ALLI JUMA...picha likaishia hivyo. Ila intelligencia ya tz ni ya kiboya haswa.
 
Jamani tuweni serious hivi Rais wa nchi nyingine apangwe kumalizwa kwenye nchi ya kigeni tena Kwa chakula cha sumu then chakula kibadilishwe ale mtu mwingine, hakukuwa na mpango huo na wala isingewezekana kwasababu ya mgogoro mkubwa wa Kidiplomasia ambao ungeweza kusababisha hata vita kati ya nchi mbili punguzeni propaganda
 
It doesnt come
 
Mmeto siyo mmakuwa.
 
1972 alikua nani
 
wakikumbuka jumuia tano za CCM basi watakuelewa.
 
1999 tulimpoteza Mzee Mchonga, aliondoka kwenda London akiwa salama salmini alirudi akiwa kwenye coffin box
 
Sijui ni wapi nilisikia kuna nchi ilikuwa inauza silaha kiharamu kwa waasi ilipogundulika ikabidi atolewe kafara kiongozi fulani

Mimi naongelea nchi ya Wayuzani iliyokuwepo 200BC

Na hili ndio nalolijua mimi!
na mtu alidondoka baada ya kufokewa tu, unajua chinga alikuwa mkali sana hasa akishapiga vyombo vyake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…