Ndio huyo alikuwa Mkurugenzi wa Misitu Miaka ya nyuma sanaMkuu huyo Mzee mnenge si ni wakwetu kigoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo alikuwa Mkurugenzi wa Misitu Miaka ya nyuma sanaMkuu huyo Mzee mnenge si ni wakwetu kigoma?
Wala siye ulomtaja mkuu..Kwani simba hamna jina kama hilo kwenye kamati ya usajili?Ni lini Kitine alijaribu kumpindua Mchonga?
Kaeni kimya uongo mwingine haufai
Ulianza vizuri ila umeharib ulivobadili gia na kuingiza hyo lugha yakoCIA walisema aliehusika na kifo cha Kombe ni PK na walitoa repoti yao.
There is also reason to believe that a number of people with knowledge of Kagame's plot against the presidential aircraft have been assassinated. These possibly include Tanzania's former intelligence chief, Major General Imran Kombe, shot dead by policemen in northeastern Tanzania after he was mistaken for a notorious car thief. His wife maintains he was assassinated.
Kombe had knowledge of not only the planned assassination of the Rwandan and Burundian presidents but a plot against Kenya's President Moi and Zaire's President Mobutu, as well. There is a belief that Roman Catholic Archbishop of Bukavu, Emmanuel Kataliko, was assassinated last October in Rome by members of a Rwandan hit team acting on orders from Kagame. Other Tutsi and Hutu leaders who oppose Kagame's regime continue to flee Rwanda to the U.S. and France in fear of their lives.
Rwanda's figurehead Hutu President Pasteur Bizimungu was forced to resign last year under pressure from the only power in Rwanda, his then-Vice President, Paul Kagame. Deus Kagiraneza, a former intelligence officer in Kagame's Military Intelligence Directorate (DMI), interim Prefect of the Ruhengeri province, and member of the Parliament, is now in exile in Belgium. He charges that Kagame's top government and military are responsible for torturing and executing their political opponents. Kagiraneza maintains that the RPF has pursued such policies since the time of the 1990 invasion of Rwanda from Uganda
Blood Money Out Of Africa
Si ndo mana anataka kujua kupitia kwenu vikingweKwa wewe mtoto wa juzi huna hujualo
Yote yanaweza kua majibu mkuu. nilichogundua kua nisinanijuacho kabisa. Niujinga kushabikia mambo nisio yajua(siasa)\Usalama wa nchi au usalama wa Chama ?
A.A.K1972 alikua nani
Horace Kolimba anajua kila kitu maana alikuwa ndio mkuu wa msafara mchana ule Mmasai anapata ajali pale Dumila.
Bahati mbaya Kolimba amekufa na siri yake moyoni pale Kizota.
Mkuu, kama umesoma comment yangu ya awali...nilisema kuwa intelligencia yetu haiko vizuri. kuna watu walitumika nje ya mfumo wetu kuandaa hilo tukio ingawa wengine ni sehemu ya usalama wetu. kumbuka, Mgogoro wa DRC unashirikisha players wengi Duniani ikiwemo CIA na wengineo. kama Museveni angekufa, ingelaumiwa Tanzania na Dunia ingetulaani sana.Jamani tuweni serious hivi Rais wa nchi nyingine apangwe kumalizwa kwenye nchi ya kigeni tena Kwa chakula cha sumu then chakula kibadilishwe ale mtu mwingine, hakukuwa na mpango huo na wala isingewezekana kwasababu ya mgogoro mkubwa wa Kidiplomasia ambao ungeweza kusababisha hata vita kati ya nchi mbili punguzeni propaganda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We ulieleta issue ya babu Soya Mungu anakuona, unatutoa kwenye reli makusudi au mawawaa kazini?
mkuu, hiyo avator yako ndo inafanye niweze ku-smile! He was the man...Huu uzi naona watu wanafunguka kwa mafumbo tu yaan utafikir tunasoma ufunuo
Huu uzi naona watu wanafunguka kwa mafumbo tu yaan utafikir tunasoma ufunuo
Dah[emoji25] [emoji25] [emoji25]Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.
Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
Pohamba umepatwa na nini au umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi katika maisha yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Just a joke bro, don't take it seriuosly
HAYA mjukuuSi ndo mana anataka kujua kupitia kwenu vikingwe
unauhakika hao uliowataja hawapo hapa?Wote humu mnahadithia hadithi za vijiweni.
Taarifa nyeti hata afisa wa TISS huwa hawazijui 50%.
Hapa mpk upate ubuyu toka kwa wahusika, El, JK, mkapa, kingunge, Othman,
Una uhakika wapo hapa?unauhakika hao uliowataja hawapo hapa?