Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Mkuu hiyo yakupasuka na hiyo ya Ilunga vimeniacha dilema mkuu
 
He was himself Imran Kombe who ordered PM bodyguard to heard to Dar instead of accompany the Premier towards Monduli sasa umeshapata jibu kuwa DG alikuwa nani .
Thanks boss
 
hiyo namba 3 hapo juu,imenikumbusha tukio hilo ETI MKUU WA TISS anapigwa risasi kwa kutuhumiwa ni jambazi?

kweli jamani ?please gives me a break, huyu pamoja na kuwa na madaraka makubwa sana kipindi hicho alikuwa ni mtu wa kawaida tu,alipenda sana kuja pale White Sands Hotel kuogelea na his lovely family,watoto ambao nao walikuwa wanaishi maisha above poverty line ila walikuwa wanalelewa kwa misingi ya kutambua kuwa kuna shida just behind their wall,walikuwa na heshima na upendo mno, ewe Mwenyezi Mungu nategemea bado unawalinda maana kipindi hicho walikuwa wadogo.

Tanzania nakupenda ila one day historia itakuja kutuhukumu Amina.
 
Naomba niseme ahsante sana mkuu...maandiko yako yamejitosheleza vya kutosha, kwa uelewa wangu mdogo nimeelewa picha Zima.
 
Kwaiyo kumbe before NBC case Nyerere alikua na afya njema tu yani alikua sio mgonjwa mgonjwa?
 
Katika huu Uzi nilikua nasubiri neno toka kwako,ahsante mkuu
 
Hivi jamani Rostam nchi hii ndo kaizira kabisa? Ila ushindi wa boys2men ndo ulikua ushindi wa Tanzania zidi ya mfumo Kristo!! Ila ndo vile tena!!
 
Watu mnaweza kutunga nimekuvulia kofia;unataja hadi watu waliokufa kwa ngoma na chain inajulikana unawapa dhambi watu ya kuwaua
We kujifanya daktari wakati hata posmoterm jamaa awataki na mara nyingi ukishapelekwa Lugalo basi ujue hamna cha postmotam wala nini . Kinachofuata ni kuzikwa .

Uenda ujui yanayoendelea ndio maana unapinga ukweli. Pole mkuu ubongo bikra
 
We kujifanya daktari wakati hata posmoterm jamaa awataki na mara nyingi ukishapelekwa Lugalo basi ujue hamna cha postmotam wala nini . Kinachofuata ni kuzikwa .

Uenda ujui yanayoendelea ndio maana unapinga ukweli. Pole mkuu ubongo bikra
Wewe unaamini Amina,Komba au Del Monte wameuawa?wakati Chain ya Amina tumeshazika karibia 4
 
Mkuu pipi mti karma ni adhabu ambaye wewe unalipwa kulingana na kitu ulichofanya duniani either mbaya au nzuri mf: Umemdhulumu bwana Pohamba au lusungo hela zake basi wakakuambia Mungu anakuona na malipo ni hapa hapa duniani basi akitokea mtu mwingine nawewe akakudhulumu kiasi cha pesa kile au zaidi basi tunaita KARMA.

Am standing for correction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…