Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Watakuja wataelezea vizuri leo tupo na daktari wa mifugo kutoka huko Pemba ! Ila kwa kugusia kidogo inaonekana wazanaki ni wachawi sana hii atakuja azungumzie pasco maana mi si mwenyeji sana mi natoka huko Old M tusikopendwa tunaonekana wezi.

Sawa mkuu nimekupata

Hakuna mtu ambaye siyo mwizi hivyo watanzania hasa kizazi hiki tunakosa elimu ya uraia ya kuogopa mali ya umma na kutokuendekeza anasa,

Tuendelee na mtaalamu wa mifugo.
 
Mkuu inaonekana wewe unajua kitu hebu tupe data
Sasa hapa mkuu mada inamuhusu daktari nikieleza hayo unaotaka mada itamuhusu mwl aliondolewa na watu aliowaamini kuna moja alihapa atomuita baba wa taifa na kweli kila akizima mwenge 14/october utasikia akisema mzee nyerere dah ngoja tummalizie huyo daktari kwanza sawa 3 Angels message
 
PK ni threat sana, nahisi ni hatari zaidi wakati huu kuliko hapo nyuma.
 

Ninani huyo alihapa?! tupe jina lake japo kwa code
 
Sio tu jasusi bali ni jasusi ambaye inasemekana alikuwa trained na idara yetu wenyewe.
Muambie pia atambue kuwa Kagame ana kikosi chake kilichosambaa maziwa makuu mpaka South Afrika inajulikana kama " ESCADRON DE LA MORT" hicho kikosi kimeondoka Na wengi lakini la kukumbukwa na wengi ni Mtikila na Mwakyusa Juan Profesa R.I.P.
 
PK ni threat sana, nahisi ni hatari zaidi wakati huu kuliko hapo nyuma.
Yes you have got a point.. Alipomuambia mkwere kuwa I will wait you at the right point alafu amfute kwenye uso wa dunia alikuwa anamaanisha via kundi lake la Escadron de la mort " kagame ni hatari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tumalize hili la Dr kwanza
 
I really miss the place . One day I will be back if God wishes.
mkuu, upo nchi gani? nimetoka Angola juzi. nimeweka kambi hapa Grootfontein kwa ajili ya holidays. bless up
 
I have been thinking the same thing about Mmasai hapo CDM, is he for real au ana mission anandelea nayo? Mda utasema.
 
Bila kusahau walivyomtenda Salim Ahmed Salim kule Tehran, Iran

Muulizeni emissary wame ndugu Ahmed Rajab aliposhuka Tehran?
Funguka Mkuu, ninekuwa namsoma sana Ahmed Rajabu ni mwana historia mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…