Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Yes you have got a point.. Alipomuambia mkwere kuwa I will wait you at the right point alafu amfute kwenye uso wa dunia alikuwa anamaanisha via kundi lake la Escadron de la mort " kagame ni hatari
Mkuu
Ina maana hili kundi lime penetrate hadi bongo na kufanya litakavyo? Je vyombo vyetu vinalijua kiasi gani?
 
Wee jamaa wewe memory yako mbovu
 
Mkuu
Ina maana hili kundi lime penetrate hadi bongo na kufanya litakavyo? Je vyombo vyetu vinalijua kiasi gani?
Mtikila alikuwa analalamika jinsi Tutsi empire ilivopenetrate ila ndo hivyo aliondoka ajali tena walimuuawa akiwa amechoka na safari wakasema eti ajali ya gari oh my Lord wakati waliokuwa nae walikuwa wazima wa afya.

Yule mwanasheria alikuwa kwenye muelekeo wa kumfunga Kaghame kule ICTR ila akujua kuwa ata UD pale walijaa watu wa slim wakiwa na vitengo nyeti ndio hivo marafiki zake walilia akina Kabudi na Chriss Mahina jamaa alizikwa Mbeya.
 
hizi ishu nafuatilia tangu miaka ya 80,
sasa sijui we utanambia nini.

Waarabu wapi hao walipoteza imani na marekani wakati waarabu ni vibaraka wa marekani kasoro syria na iraq tangu miaka ya 79 hadi leo.

Ni ushawishi upi unaongelea labda kwa mfano waliopoteza marekani toka nchi za kiarabu tofauti na syria ama iraq ambayo baada ya vita ikaangukia upande wa iran
 
Asante sana mkuu. mimi makazi yangu ni Namibia. wife na watoto wako huku, though kibarua ni Angola. pamoja sana mkuu
Nilikuwa na ndoto sana ya kuishi Botswana kulingana na niliokuwa nayasikia kuhusu hiyo nchi kabla sijaja huku.

Anyway mkuu tunashukuru JF tunabadilishana mawazo kama tupo kwenye DCM za GOMZ au bajaji za Mwenge.
 
Hii sasa inaleta mwanga Zaidi kuhusu kifo cha Dr. Omar Ally Juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…