Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Yes you have got a point.. Alipomuambia mkwere kuwa I will wait you at the right point alafu amfute kwenye uso wa dunia alikuwa anamaanisha via kundi lake la Escadron de la mort " kagame ni hatari
Mkuu
Ina maana hili kundi lime penetrate hadi bongo na kufanya litakavyo? Je vyombo vyetu vinalijua kiasi gani?
 
Mkuu bado ujanishawishi inshu ya BABU SEYA naona Hamna mausiano na KIKWETE ila siasa tu imeingizwa .labda nikuhulize swali hivi inshu ya SEYA haina mahusiano na siasa za Kongo kwa kabila maana baada ya BABU SEYA kutoka jera baada ya week kama tatu nne hivi tukapata msiba huko Kongo wanajeshi wetu 12 wameuwawa na wengine kama 40 majeruwi uwoni kama kuna kitu nyuma ya panzia
Wee jamaa wewe memory yako mbovu
 
Mkuu
Ina maana hili kundi lime penetrate hadi bongo na kufanya litakavyo? Je vyombo vyetu vinalijua kiasi gani?
Mtikila alikuwa analalamika jinsi Tutsi empire ilivopenetrate ila ndo hivyo aliondoka ajali tena walimuuawa akiwa amechoka na safari wakasema eti ajali ya gari oh my Lord wakati waliokuwa nae walikuwa wazima wa afya.

Yule mwanasheria alikuwa kwenye muelekeo wa kumfunga Kaghame kule ICTR ila akujua kuwa ata UD pale walijaa watu wa slim wakiwa na vitengo nyeti ndio hivo marafiki zake walilia akina Kabudi na Chriss Mahina jamaa alizikwa Mbeya.
 
Mkuu unapoangalia documentary au unaposoma kitabu usichukulie km Ni msaafu
Documentary za kisiasa huwa znalenga kitu fulan jawafikia watu fulan

Hivi unajua kuwa all Jazeera ilianzishwa kwa msaada wa USA ili kupunguza chuki dhidi ya nchi za Maghreb?

Nchi za kiarabu ilifikia wakat hawaamin media za magharibi, USA ikakaa na mshirika wake wakaja na aljazeera lengo kubwa Ni kuwapa nafas waarabu waseme kupunguza sumu

Na we baada ya kuangalia documentary ukaamin kabisa Iran anaweza kumchonganisha USA apigane na Iraq?

Bro kuwa mdadis don't be spoon feed
hizi ishu nafuatilia tangu miaka ya 80,
sasa sijui we utanambia nini.

Waarabu wapi hao walipoteza imani na marekani wakati waarabu ni vibaraka wa marekani kasoro syria na iraq tangu miaka ya 79 hadi leo.

Ni ushawishi upi unaongelea labda kwa mfano waliopoteza marekani toka nchi za kiarabu tofauti na syria ama iraq ambayo baada ya vita ikaangukia upande wa iran
 
Asante sana mkuu. mimi makazi yangu ni Namibia. wife na watoto wako huku, though kibarua ni Angola. pamoja sana mkuu
Nilikuwa na ndoto sana ya kuishi Botswana kulingana na niliokuwa nayasikia kuhusu hiyo nchi kabla sijaja huku.

Anyway mkuu tunashukuru JF tunabadilishana mawazo kama tupo kwenye DCM za GOMZ au bajaji za Mwenge.
 
kwa kumbukumbu zangu,yalikuwa ni maonesho ya saba saba mnamo mwaka 2001 ambapo Rais Kabila alialikwa na museveni PLUS viongozi wengine. kama unakumbuka, mwaka huo ndo kipindi majeshi ya Uganda na Rwanda walikuwa vitani nchini DRC. Kuna issues nyingi za kidiplomasia zilikuwa haziendi vizuri ingawa zilikuwa hazitangazwi na Raia wa kawaida walikuwa hawawezi kujua. ili Congo iweze kuwa na Amani, Museveni hakutakiwa kuwepo kwani ndo alikuwa threat. hata hivyo, mwaka 2000 majeshi ya uganda na rwanda walishazipiga wakiwa kwenye ardhi ya DRC...na PK alinukuliwa akisema..."kwamba M7 anamdharau, then atamuonyesha kuwa siyo tena bwana mdogo". ndo mpango ulipofanyika wa kumuua M7...na wakatega sumu kwenye Mic! simkumbuki mzungumzaji aliyetangulia...but ilikuwa ni zamu ya Museveni. wakati M7 anajiandaa kutoa speech, bodyguard wake aliitoa ile mic kwa speed ya RADI na kuchomeka mic nyingine aliyokuwa nayo mfukoni. after speech, akarudishia ile ya awali. aliyefuata kutoa speech akawa DR. Omary ALLI JUMA...picha likaishia hivyo. Ila intelligencia ya tz ni ya kiboya haswa.
Hii sasa inaleta mwanga Zaidi kuhusu kifo cha Dr. Omar Ally Juma
 
Back
Top Bottom