Ulifanyaje mkuu? Mpk ukaungwa nna miezii sasa tangu niombe kuunganishwa hukoHaaa,haaa we mkuu nimekuheshimu sana kumbe tunabonga na wenye nchi??? Nashukuru sana bhana nimeshaungwa,, ubarikiwe
Hao walinzi wake hawakuonja huo mvinjo kabla ya mwl kuutia kinywani au nao walikuwa kwenye huo mchakato hivyo wakaamua kuuchuna?!Kazi ilimalizwa Butiama kwenye birthdate yake nenda kaangalie au katafute amezaliwa lini , Na hiyo ndio ikawa his last birthday anniversary.
Kiakili alishakufa sometimes ata we mwenyewe unaweza kutabiri au kujua mwisho wako. Yeye he was forced to kick the bucket.
Nadhani yeye pamoja na mmakonde wali-play part kubwa kumweka huyu Pogba.kweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
it's not a coincidence, what do you think Mkuu?!!1.Dar...
2. Udsm...
3. Maprofesa/Dr wa serikali ya awamu ya Tano....
I can smell wolves clothed with sheep's skin...
Kuna ndugu yangu nae alifariki hii tareheMkuu ilikuwa tar 07/4/?? Hii tarehe huwa ina nini? Karume plus kanumba the same date but miaka tofauti
Bilal alikua yupo vizuri kwenye kukata utepe huku akitoa hotuba zake maridhawaNje kidogo ya mada.
Hivi kwa nini hawa makamu wa rais toka zanzibar wanakuwaga maboya? Yaani hawana ile ladha ya uongozi. Kuanzia Abdul Wakili, marehemu Dr Omary Alli Juma, Dr Shein, Ghraibu Bilali mzèe wa mikasi na huyu mama samia Suluhu. Yaani sijui nieleze vp.
Uwezi kujua kama ni wapole, hotuba zao hazina ladha zimepoa yaani ccm wanatuletea watu wa ajabu kweli. Kama Bilali ndio alikuwa mzigo kabisa.
Kwenye topic ni kwamba target alikuwa Joseph kabila. Lakini kutokana na uboya wa Dr Omary alishindwa kungamua mwishowe akabadilishiwa sahani/glass na kunywa/kula sumu iliyotakiwa kumuua Kabila. Nashangaa system walishindwaje kumwepusha na huu mtego.
Unakumbuka operation ya kujivuaa Gamba!!mzee alikuwa analima vitunguu ndo kumfuata aje aokoe jahazikweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
Kama umefuatilia kuanzia mwanzo mwa hii thread basi utagundua kwamba teache alipigwa 1997 akisheherekea bday yake, na aligundua siku hiyo hiyo kwamba amesha chezewa ( alikunywa...akaiangalia...akaiweka mezani) baada ya hapo hakuwa na ujanja tena, alimwita predaa, predaa kaja kalewa, kaenda kwa kadinali, kadinali hakwenda, kaenda kwa pre daa, predaa akamzingua, teacher akaliaaaaa na mara ya mwisho tukasikia Komba na nyimbo zake.Mtoa mada kwanini Mwl wakati anaenda uingereza safari yake ya mwisho kwa ajili ya matibabu watu waliokuwa karibu wanasema wakati anapanda ndege alilia na kutoka machozi kusikitika nchi yake, je alikuwa anajua hawezi kurudi akiwa hai. ?
Kwa maslahi mapana ya wale wachache.Thread imehamishwa from Jukwaaa la siasa kupunguza makali....
Hawa ndio watu wa makaburini
Noma sana
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] aiseeTuambieni kuhusu Dully Sykes pia, naskia ni mtoto wa system sema tu yy kaamua kuwa mzee wa bomba, bombadia...enheeh!...bomba, bombadia...wacha!...bomba, bombadia...mama!
Halafu huyu Dar Archbishop,ni mtu wa kitengo kabisa.Maana anaonekana yupo kwenye system tangu na tanguKakobe yeye anaweza akatapika mpaka nyongo ila kamwe atakua anatwanga maji kwenye kinu . Hivi mnakumbuka ule waraka wa kakobe aliomuandikia Khalfani Kipindi kile akidai umetoka kwa Mungu ? Tatizo mnasahau labda changamoto za kimaisha !
Siku atakapotoa neno mwanakitengo a.k.a Dar archbishop hapo ndipo nitajua tunaelekea ukombozi kupitia pia viongozi wa dini Ila kwasasa there is nothing going on. Take it from me bila katiba mpya ccm itatawala milele
DoohhDr. Omar ndiyo nani [emoji17]
DSTV??
code haiunlock_iki
Abdulwahid sykes (1924-1968)Tuambieni kuhusu Dully Sykes pia, naskia ni mtoto wa system sema tu yy kaamua kuwa mzee wa bomba, bombadia...enheeh!...bomba, bombadia...wacha!...bomba, bombadia...mama!
Duuh hatariHow wakati wapo kwa sultan
MwongoNaumiza kichwa but bila bila sipati kitu kuhusu DSTV!!wakuu wahenga dadavueni hata kwa mbali tuwezapo kuelewamo