Siyo babu ni kijanaBabu Shikamoo...
Daktari flani hivi wa mifupa pale MOI.[emoji19]Dr. Omar ndiyo nani [emoji17]
sorry mkuu, nimechelewa kuona comment hii...maisha botswana ni mazuri but wako strict kidogo na migrants. Ila kwa mtazamo wangu, NAMIBIA is best. nimekaa hapa miaka mingi kidogo but sijawahi kusumbuliwa hata kidogo. hata neighbour wanafikiri mimi mwenzao. Nisingekuwa na Ndugu Bongo...sizani kama ningerudi.Nilikuwa na ndoto sana ya kuishi Botswana kulingana na niliokuwa nayasikia kuhusu hiyo nchi kabla sijaja huku.. Anyway mkuu tunashukuru JF tunabadilishana mawazo kama tupo kwenye DCM za GOMZ au bajaji za Mwenge.
Haikuwa chakula...but sumu iliyowekwa kwenye Mic! hata papa wemba alikufa kwa staili hiyoMnatuchanganya mara [emoji441] mara chakula cha sumu
Hahahaha ndio mijamaa itazidi kutudanganya tu humu,athibitishevipinawewehebukalalewakubwa wanaongea
mzeejumaongezakahawa
Nadhani angalia makao makuu ya dstv yalipo ni oysterbay pia kuna makao makuu mengine mi sio GT lkn i might be wrongNaumiza kichwa but bila bila sipati kitu kuhusu DSTV!!wakuu wahenga dadavueni hata kwa mbali tuwezapo kuelewamo
Kweli myth tu za kibongoHii chai mkuu.
Mwalimus personal bodyguard baada ya 1999( death) alipanda kuwa Capt. Akapewa special task force kupambana na wasomali waliovamia ngorongoro na kumuua ocd kongoa.Khalfani alikuwa ni mjanja sana kwa mgongo wa el alipata urais baadae akamtema kama bazoka jiulize wamefanya mangapi ? Hivi ni nani aliemuamuru mwl Personal bodyguard soon after his death amlinde El jamani hayo mambo kwakweli khalfani na el awajakutana road .
Unamzungumzia phantom alie kuwa shinyanga au meibalabu alie ..Dr. kifo chake kinatoka na kuusika kwake na baadhi ya wafanya biashara wa mafuta. Mmoja wapo akiwa mfanya baashara maarufu wa morogoro wa kipindi hicho alikuwa ni mmiliki wa tim ya mpira moro united. mafuta yao walikuwa wanawauzia waasi wakongo kinyume cha sheria, dr alikuwa anatoa vibali ambavyo vinaonyesha serikali ya tanzania imekubali kufanya biashara na waasi hao wa kongo.
baada ya kabila kuyakamata magari ya mafuta ya tanzania na kukuta vibali vina sign ya dr. aliamua kuja mwenye tanzania na kumuonyesha mzee benja vibali vyote, kwamba inakuwaje waasi wanamsumbua kumbe yeye benja anawa suppot kwa kuwauzia mafuta?, Mzee ilimuuma sana hii kitu maana niaibu kubwa na ina hatarisha diplomasia. Mzee benja akaitisha kiako ambacho dr alikuwepo na kuelezwa ubaya wake na achague mwenye kifo chake ili kulinda aibu yake na ya tanzania. hii inatokana na viapo ambavyo viongozi wanaapishwa watailinda nchi kwa garama zozote bila kuitia kwenye mzozo wowote.
Kuna bendi ya chama mkuu uijui ? Komba nae aikuwa aondoke mapema vile ila kupitia mwanakitengo on going DG wa benki ya watu vijijini akaongezewa BP kwa kutaifisha mali zake mpaka bakili muluzi hapo tabata relini . Sijajua aliwakosea nini ndo hivo jamaa alizikwa Songea boys
Kaunda suti nadhani...Kandau tisu nanidha
Kwahiyo Fiss is equal to fisiem? I think they're supposed to be neutral
Haya muhenga kashafanya yake tayariKaunda suti nadhani...
Maana yake nini?
Ngja nimsaidie DSTV=TISS HAYA NIMEWASAIDIA MSISUMBUE TENA
Baada ya boyz 2 men kuhitilafiana kufuatia Richmond scandal, 2008, chama kiliyumba na kuzalisha makundi kadhaa. Ndipo wazee wa chama wakamshauri mwenye kigoda amrejeshe mkulima ili aweke mambo sawa. Hata hivyo nguvu ya mkulima haikuwa kubwa kama enzi za "malofa" kwani makundi yalishafika mbali sana. Hata hivyo kwa kushirikiana na Kinana walirekebisha kiaina.kweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
Mkuu mimi hao wasiojulikana na wasikia humu humu kama wengine lakini wengine inaonekana wanawajua mpaka kwa sura, kama vile wewe na dereva wa TL mnaweza kutuambia kwa uzuri kabisaNzi mpo kazini
Wewe Unajifanya hujui watu wasoojulikana