kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,503
- 2,078
Nenda ukalale, maan mnafungua shule next weekwakuu kwani hili jukwaa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ukalale, maan mnafungua shule next weekwakuu kwani hili jukwaa gani?
Soma bandiko [HASHTAG]#931[/HASHTAG]! Jamaa katusaidia sisi Ndezi!Hili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Pakaa grissHili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Merey Ballhabou.... IUnamzungumzia phantom alie kuwa shinyanga au meibalabu alie ..
Kweli mkuu. Huku sio kama kule stress free!Hizi sio stori za juma na uledi..!
Hawaoni nondo nying zinashushwa wakati jua la bongo limezama..[emoji41]..
Deep reasoning and scene connection is highly needed to capture the story.
Nimeelewa kuanzia The past mpk Mother tongue huko chini code zilizochapwa ni ngumu sana punguza makali mkuuThe past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny
Mothertongue hawajui
basically, slim thug has us by the ball...
I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
TISSHili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Akitaka kujua zaidi a some post za Mzee Mohamed SaidDully ni mjukuu... Kina Sykes na Kaka yake walienda vitani vile vya dunia waliporudi wakaanzisha vuguvugu kipindi hicho mchonga bado kabisa... Ndio walimkaribisha mchonga kwenye harakati na akawapoteza kabisaaaaa hawasikiki kabisa hao kina Dosa Azizi na wengine wengi historia inambeba sana mchonga kuliko hao jamaaa walimkaribisha mjini akafuta kabisa jumuiya y Waislamu afrika mashariki na kuanzisha bakwata na kuwapa Mali zote za iliyokuwa jumuiya ya Waislamu.... Mchonga hapa napo alicheza kama Pele maana walikuwa wananguvu sana hawa jamaa
Mkuu, hizi code hapa ni balaa, salute!The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny
Mothertongue hawajui
basically, slim thug has us by the ball...
I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
Mkuu, hebu thibitisha uvumi wako sasa ili nasie wahuku shambani tuelewe watu wasiojulikana ni akinanani
Paragraph yake ya Mwisho kaniacha Ubungo terminal, ye kashafika Msamvu!Mkuu, hizi code hapa ni balaa, salute!
Okay, naskia eti niwanyarwanda walio letwa na chattel boy, ndio hao wasiojulikana siijui ni kweli mkuu?Wasiojulikana ni wale waliom miminia tundu lissu risasi na ndiyo wale waliokuwa wapo kibiti na ila wanaotangaza watu wasijulikana leo muda fulani wamevamia sehemu flani. Wao watakuwa wanawajuwa zaidi kwa mana wanasemaga watu wasiojulikana wakimanisha washawajuwa kuwa ni wao
Okay, naskia eti niwanyarwanda walio letwa na chattel boy, ndio hao wasiojulikana siijui ni kweli mkuu?[/
Jielezee vizuri wewe uliskia wapi mkuu
Unamjua tajiri barabuu wa moro united?Kawadanganye wadogo zako wa fesibuku
balabuu. sahivi sijui kafia wapiUnamzungumzia phantom alie kuwa shinyanga au meibalabu alie ..
Ahhaaa hapa ndipo umempoteza kabisa mkuu haya mambo sometimes ukiyafikiria sana yanakuumiza ubongo. Wakili mwanakitengo alipowadhihirishia Ukawa kuwa kura azitaibiwa ajawahi kujitokeza kwenye press tena three years now.
Acha mambo yako wewe, hujui kuwa dr, slaa na lipumba ndio waliosalitiwa na mbowe kwa kumleta LOWASSA hali ya kuwa mbowe ajua ufisadi wa LOWASSA?
Yaani unataka.kutuaminisha kuwa mbowe alifanya maamuzi sahihi ya kumsajili lowasa kugombea urais na akina slaa na lipumba walikosea kujiondoa?
Akili zingine bhana hatari sana, nenda instagram huko ndo kuna watu wenye fikra kama hizi, hapa Jf pana watu watanashati wa akili, usiwachafue.