Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hili neno Dstv kila nikilisukumizia kwenye ubongo halikubali......watu tuna vichwa vigumu!!!wekeni mchuzi kidogo Wakuu.
Soma bandiko [HASHTAG]#931[/HASHTAG]! Jamaa katusaidia sisi Ndezi!
 
Hizi sio stori za juma na uledi..!

Hawaoni nondo nying zinashushwa wakati jua la bongo limezama..[emoji41]..

Deep reasoning and scene connection is highly needed to capture the story.
Kweli mkuu. Huku sio kama kule stress free!
 
Mm toleo LA division 5 ? Hebu jarbu kuufunza mdomo wako kutoropoko ropoka kwanza asubuhi sa hivi kapige mswaki
 
The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny

Mothertongue hawajui

basically, slim thug has us by the ball...

I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
Nimeelewa kuanzia The past mpk Mother tongue huko chini code zilizochapwa ni ngumu sana punguza makali mkuu
 
Nje ya Mada Kidogo

Wanajamvi miaka mingi nimekuwa nikijiuliza ili swali;

Inatokea viongozi wa waasi wanajulikana kama wakina Wamba Dia Wamba, Kagame, Charles Taylor, Foday Sankoh, "Papoy" Sam Bockirie, "mosquito" Foday Kallay, Paul John Koroma, na wengine wengi awa uwa wako uraiani wakati harakati zinaendlea msituni na wakati mwingine wakiitwa kwenye majadiliano ya kurejesha amani.... Swali je?

Kwanini hawa watu uwa wakikitokeza hadharani awawez kuuwawa zaidi ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini??
Kwa kujulikana kuwa wao ndo kiini cha tatzo kwanini wasiuawe ili kumaliza mogogoro na waasi waliobaki msituni kutua siraha chinii??
Naomba ufafanuzi wa ili wadau.....
 
Dully ni mjukuu... Kina Sykes na Kaka yake walienda vitani vile vya dunia waliporudi wakaanzisha vuguvugu kipindi hicho mchonga bado kabisa... Ndio walimkaribisha mchonga kwenye harakati na akawapoteza kabisaaaaa hawasikiki kabisa hao kina Dosa Azizi na wengine wengi historia inambeba sana mchonga kuliko hao jamaaa walimkaribisha mjini akafuta kabisa jumuiya y Waislamu afrika mashariki na kuanzisha bakwata na kuwapa Mali zote za iliyokuwa jumuiya ya Waislamu.... Mchonga hapa napo alicheza kama Pele maana walikuwa wananguvu sana hawa jamaa
Akitaka kujua zaidi a some post za Mzee Mohamed Said
 
The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny

Mothertongue hawajui

basically, slim thug has us by the ball...

I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
Mkuu, hizi code hapa ni balaa, salute!
 
Mkuu, hebu thibitisha uvumi wako sasa ili nasie wahuku shambani tuelewe watu wasiojulikana ni akinanani

Wasiojulikana ni wale waliom miminia tundu lissu risasi na ndiyo wale waliokuwa wapo kibiti na ila wanaotangaza watu wasijulikana leo muda fulani wamevamia sehemu flani. Wao watakuwa wanawajuwa zaidi kwa mana wanasemaga watu wasiojulikana wakimanisha washawajuwa kuwa ni wao
 
Wasiojulikana ni wale waliom miminia tundu lissu risasi na ndiyo wale waliokuwa wapo kibiti na ila wanaotangaza watu wasijulikana leo muda fulani wamevamia sehemu flani. Wao watakuwa wanawajuwa zaidi kwa mana wanasemaga watu wasiojulikana wakimanisha washawajuwa kuwa ni wao
Okay, naskia eti niwanyarwanda walio letwa na chattel boy, ndio hao wasiojulikana siijui ni kweli mkuu?
 
Ahhaaa hapa ndipo umempoteza kabisa mkuu haya mambo sometimes ukiyafikiria sana yanakuumiza ubongo. Wakili mwanakitengo alipowadhihirishia Ukawa kuwa kura azitaibiwa ajawahi kujitokeza kwenye press tena three years now.



Kwanini?

Ilikuwaje?
 
Acha mambo yako wewe, hujui kuwa dr, slaa na lipumba ndio waliosalitiwa na mbowe kwa kumleta LOWASSA hali ya kuwa mbowe ajua ufisadi wa LOWASSA?

Yaani unataka.kutuaminisha kuwa mbowe alifanya maamuzi sahihi ya kumsajili lowasa kugombea urais na akina slaa na lipumba walikosea kujiondoa?

Akili zingine bhana hatari sana, nenda instagram huko ndo kuna watu wenye fikra kama hizi, hapa Jf pana watu watanashati wa akili, usiwachafue.


Povu la nini?

watoto wa miaka ya elfu 2 mnatusumbua huku.

Someni tu kama hamna cha kuchangia!
 
Back
Top Bottom