Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
waziri mkuu nae risasi
 
The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny

Mothertongue hawajui

basically, slim thug has us by the ball...

I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history
salute to you bro! umenikumbusha novel ya Manchurian Candidate. siku hizi naona kuna movie yake pia
 
Mechi zilikuwa ngumu sana ile timu kila wakibadilisha magoli watu wanaweka... Ikabidi wamrudishe kwa Muda Kama Paul Scholes pale man utd.... Akaonyesha cheecheeee... Akawachukua kwa mkopo Maradona mzee wa millets pale pale mzee aliyekuwa Mkufunzi wa siasa jeshini wakaaanza safari za kurudisha Chama chetu barabarani kwa ile shughuli ilibidi tu usajili uwe wa kudumu
Inamaana bila yeye 2015 ingekuwaje?
 
Mkuu samahani kama utapata nafasi naomba utupe na hii,

Ninani aliye ratibu ujio wa yule mchungaji maarufu wa Nigeria mara baada ya uchaguzi mkuu?

Lengo la mkumleta lilikuwa nini? Na kwanini alikuja mara baada ya uchaguzi na siyo kabla ya uchaguzi? na je malengo ya ile dhifa yalifanikiwa?!

Asante mkuu
Hili swali liliwahi kuulizwa, akina pohamba na hinc wakagoma kujibu. ( eagle wing)
 
Baada ya boyz 2 men kuhitilafiana kufuatia Richmond scandal, 2008, chama kiliyumba na kuzalisha makundi kadhaa. Ndipo wazee wa chama wakamshauri mwenye kigoda amrejeshe mkulima ili aweke mambo sawa. Hata hivyo nguvu ya mkulima haikuwa kubwa kama enzi za "malofa" kwani makundi yalishafika mbali sana. Hata hivyo kwa kushirikiana na Kinana walirekebisha kiaina.
Na wameamua kufanya usajili wa kudumu,but is he worthy?
 
Facts.

1. Mtoto wa familia ya Mkapa aliniambia, muangalieni Dr. Omari Ali Juma, atakuja kuwa rais. Hilo ndilo lilikuwa chaguo la Mkapa. Habari hii ni kutoka dinner table conversation Sea View kwa Mkapa.

Dr. Ali Omari Juma "Chinjachinja" angepata kuwa rais, ingekuwa sawa na utawala wa Mkapa uende kuisha halafu aje kupokelewana Magufuli.

2. Kuna watu waliona wamenyang'anywa urais,na hivyoMkapa akimaliza, ni lazima wapate walichonyang'anywa.

3. Wakaona kuwa baada ya Mkapa, upepo unaelekea kwa Dr. Omari Ali Jumana wakizubaa, watanyang'anywa kwa mara ya pili nafasi ya urais.

4. Dr.Omari Ali Juma aliondolewa makusudi kwa kuchanganyiwa vidonge vya kuongeza nguvu na kinywaji kilicho react vibaya navyo. Vidonge hivi vinahusika katika shughuli pevu. Vilitumika kitaalamu sana kiasi kamakungefanyikauchunguzi wowote, kitu ambacho kingeonekana kumuondoa kingekuwa mashtuko wa moyo

5. Zaidi ya hapo, story kuhusu nani alihusika inahitaji security clearance.
Tena Security clearance ya level 5.watu wanakoment na fake IDs lakini bado wanaogopa.
 
tapatalk_1508773717164.jpeg
 
The past 1 yr or so walio take charge pale Qasr Al Alam ni jamaa wa skinny

Mothertongue hawajui

basically, slim thug has us by the ball...

I blame it on Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid, na journo hilo aliliona zamaaani, mwishowe akaweka his Manchurian Candidate and the rest is history

1. Jamaa wa skinny ? - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa.

2. Mothertounge hawajui - Shukrani kwa IDed them.

3. Slim thug has us by the ball - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa.

4. Sayyid Ali Bin Hamud Al-Busaid - Huyu mzee aliweka nguvu nyingi kupambana na Boys2Men mwenzake akasahau upande wa pili. Boys2Men mwenzake anamcheka sasa uko aliko

5. Journo - Huenda uzee umemvuruga

Ili tutoke hapa tulipo tunahitaji another stronger Boys2Men team
 
Chanzo ni hiki mkuu[emoji116]
Sio kwamba tunawakodi ila wanakuja kwa ajili ya special missions to be accomplished. Tena huwezi amini wengine wamekuja juzi juzi tu hapa kama miezi 13/14 hivi iliyopita baadhi wakiwa ile jinsia pendwa ya 'Ke'.

Ziara ilifanyika ya Pogba kwenda kwa bwana Pk kama unakumbuka. Anzia hapo sasa.
 
Tena Security clearance ya level 5.watu wanakoment na fake IDs lakini bado wanaogopa.
Kuna watu wanajisahau na kutoa mawasiliano yao Humu ndio maana unaona Code language wengine wanafahamika Kabisa, its bad Mtu unapaswa kutojulikana hata kwa kufungua ID mpya ambayo usiruhusu kutoa mawasiliano wala mtu yoyote kujua Identity yako.

Lakini hili pia hali assure security yako, Hujawah kujiuliza Melo alivyo potential anaweza kuwa Nje na DSTV?
 
Back
Top Bottom