Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Sababu ya m7 kuwa targeted ni nini?
 

Inamaana unataka kusema ile mission haikuwa kwenda kumtoa Col Beka bali ilikuwa na agenda nyuma ya pazia ya kwenda kuteka opium iliyokuwa inaingia kwa col Beka.?

Kama ni hivyo sitoshangaa kama opium ile yote iliingia bongo. By the way Naona de staff sasa hivi katolewa kule kwa wenye macho madogo.
 
hiyo ishanitokea over 15 times...ila walitoka bila bila!
 
Kwann m7 alitakiwa kufa?
 
Yaaah na haijui project vanguard leave him na maigizo yake ya bandarin if he wants to clean totally this country he must start everything afresh capturing everyone aah I don't know why he fears !!!!
What he exactly fears are the roots that have been planted, created, distributed & so far well maintained by the Boyz II men et al.

Ndio maana anaishia kufanya maigizo bandarini tena maigizo yenyewe yale ya akina Tom & Jerry. Ulishawahi kuskia wapi kwa mfano mtu eti umeokota kitu alafu ghafla wataka kinunua mwenyewe?

Yaani uokote vichwa vya treni havina mwenyewe alafu eti anavinunua. Swali linakuja anavinunua kwa nani? Si vimeokotwa?

So mwisho wa siku wazee wa slow jams system yao bado inamtesa sana Pogba ndio maana ikabidi tu aseme anapata frustrations.
 
Mhhh!
 
Na kama unakumbuka vizuri mkuu swala zima la Chama kuyumba lilianza pale kinana wa Chama kwa wakati huo (mzee masilingi akiwa na kijana wa goli la maradona) walipokuja na agenda ya kujivua gamba.

Hii issue ilita mzozo sana na kuna habari kuwa ndani ya mkutano flani wa chama pale chimwaga wakati mkutano unaendelea Morani kwa ujasiri wa kimotoni alisimama na kutoa japo kidogo tu ya moyoni pale alipomuuliza mkwere kwamba inakuaje anakubali vijana wadogo (vijana toka mtam, akina December etc) wamchafue kwamba yeye ni fisadi tena fisadi mkubwa kwenye skandali ya richimondi wakati hakuna chochote alichokifanya asichokijua mkwere kwenye ile issue.

Matokeo yake mkwere aliwapiga biti madogo ambao ndio walikuwa vinara wa kuvua watu na magamba pamoja na mzee masilingi kwamba hataki kuskia tena issue ya magamba

From there ndio maana hata akina joka la makengeza wakaanza kujitapa hadharani kwamba magamba yamevuliwa yakaishia kiunoni.

Baada ya kuona mambo si mambo mkwere ikabidi amtafute mkulima kutoka Iringa arudi kusaidia kuokoa jahazi la chama na pia akapanga kikosi upya kinana akaletwa kuchukua nafasi ya masilingi alafu masilingi kutulizwa akatupwa zake kwa Trump kama balozi wetu huko.

Akina December wakatolewa kwenye kazi za chama wakapewa shavu serikalini yaani hii movie acha kwanza niweke pause.
 
So ni kweli dr alipigwa sumu kwenye msosi intentionally?
 
Heheheheh hi code si ya nchi hii hahahah asante sana hapo nimekupata
 
Sio masilingi ni mzee mkama
Na mkama hakuwahi kuwa balozi wa kwa trump
 
Sio masilingi ni mzee mkama
Na mkama hakuwahi kuwa balozi wa kwa trump
SahihiKabisa
Masilingi hajawahi kuwa 'Kinana' wa CCM
Kinana alirithi Mikoba ya Wilson Mukama alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya before
Nae Mukama alirithi kwa Mzee Makamba na Mzee Makamba alirithi kwa Mzee Mangula na Mzee Mangula alirithi kwa Hayati Lawrence Gama na Hayati Gama alirithi kwa Hayati Horace Kolimba!
 
WAPO VIZURI.... JE HAITATOKEA WAO KUONA HABARI YA KUSHTUA KUTOKA KWA WACHANGIAJI (WATOAJI TAARIFA) NA KUWALAZIMU KUMTAFUTA HUYO MCHANGIAJI AWAPE YA NDANI ZAIDI... maana wengine humu ni wenyewe kwa wenyewe ila HAWAJUANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…