Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Wekeni mambo mezani tusuuze mioyo yetu iliyochoshwa na mengi tujiliwaze kwa habari za matukio ya kale. Habari hii kama haijajitosheleza
 
So ni sahihi kuwa yule the tallest military junta commander aliyekamatwa enzi zile Congo then akarejeshwa Kigali na tusijue hatima yake ili hali jumuia ya kimataifa ilikuwa inamsaka kwa udi na uvumba atakuwa alikuwa subordinate wa the Slimmy boss...???
 

Mtafute mtu anaitwa Deo Meck pia ni member humu JF kwa jina hilo hilo, ameandika pia kitabu kuhusu kifo cha CHACHA WANGWE...
 
Huyo Salmin Amour ameshaanza kulipia ubabe wake aliowafanyia Wapemba.

Amepoteza uwezo wa kuona yaani ni kipofu!

Mungu ni wetu sote!
Huu nauita u-mbumbumbu,
Kwa umri wa Salmin Amour ni kawaida sana kukumbwa na maradhi ya aina hiyo.
Tujifunze kuacha ushabiki kwenye mambo ya msingi. Pale Muhimbili kuna wagonjwa wengi sana je nao walimkosea nini Mungu!? Sisi tulio hai na afya timamu je tumemtendea Mungu wema gani mpaka akatuba kibali hiki cha utimamu wa Afya ya mwili na Akili!?
Kila mwanadamu lazima apitie changamoto za magonjwa no matter unamcha Mungu au ni mpagani, nawe pia siku yako yaja.
 
Ndio nimemaliza kusoma hii thread.Nilianza toka saa kumi na mbili asubuhi,naumzika kwa muda then naendelea.

Nilichogundua ni kwamba hata ukifuatilia siasa za nchi hii kwenye vyombo vya habari lakini bado huwezi kujua yanayotokea nyuma ya pazia bila ya kua na watu wa "jikoni"wanaojua yanayoendelea.
 
Naomba hiyo link kaka nami nisome
 


Salmin Amour ni mdogo sana kwa watu kama Kingunge, Mwinyi, Salim Ahmed Salim na hata Kigogo Warioba. Mbona hao wapo fiti mpk leo?

Mungu analipa hapahapa Duniani. Karma ipo mkuu.
 
Salmin a.k.a Komandoo alitaka kujichanganya kipindi cha tume ya Warioba ya katiba ya wananchi wazee wa feri wakamuambia Mzee taratibu hatutaki bendera za nusu mlingoti visiwani basi akafyata .
 
Salmin a.k.a Komandoo alitaka kujichanganya kipindi cha tume ya Warioba ya katiba ya wananchi wazee wa feri wakamuambia Mzee taratibu hatutaki bendera za nusu mlingoti visiwani basi akafyata .
alikua anataka kufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…