Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Horace Kolimba anajua kila kitu maana alikuwa ndio mkuu wa msafara mchana ule Mmasai anapata ajali pale Dumila.

Bahati mbaya Kolimba amekufa na siri yake moyoni pale Kizota.
mambo ya karma hayo.
 
Naikumbuka hio scene. Mpaka mzee akasena basi wapeni wananchi chaguo lao, pale pale mkutanoni. Baada ya hapo mzee Mangula alishughulikiwa vilivyo na kuhamia Kinenulo Njombe shambani kwake, kwa kuwa ali endorse vibaya majina ya Boyz II men.
baadaye chama kikawashinda wakamwita tena mzee Mangula.
 
Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengi
Inawezekana hapo ni mkono wa MUNGU tu unatuepusha maana amani hii ni yake na anaiweka kwa malengo yake. Ingekuwa ni yetu kwa matendo yote hayo walioorodhesha wafukuaji hapo juu nadhani ingeisha zamani tu.
 
sasa
Siasa za Bongo zilikuwa za kubadilisha kijiti kati ya Bara na visiwani baada ya Nkapa kumaliza wazenji walitakiwa wamtoe Rais ila baada ya mission accomplished in 1999 jamaa walihakikisha anyone seems as an obstacle must removed by any means so connect dots
Sasa kwanini ulikuwa 2001 mapema na Uchaguzi ni 2005?ahsante
 
Jamani tuweni serious hivi Rais wa nchi nyingine apangwe kumalizwa kwenye nchi ya kigeni tena Kwa chakula cha sumu then chakula kibadilishwe ale mtu mwingine, hakukuwa na mpango huo na wala isingewezekana kwasababu ya mgogoro mkubwa wa Kidiplomasia ambao ungeweza kusababisha hata vita kati ya nchi mbili punguzeni propaganda
haimaanishi chakula kama ujuavyo.... fuatilia vizuri
 
Nikikumbuka kifo cha Dr huwa kinaniuma sana,kilinikuta Temeke kwa dadangu ambaye miaka miwili baadae nae akafa kifo cha utata baada ya kuanguka tu nakuanza kutoa damu ilisemekana aliwekewa sumu kwenye kinywaji,hii dunia.

Pole sana mkuu.
 
Kagame alitakiwa kuwa silenced akiwa Tz,na Kagame huyo huyo anamkono wake katika issue ya Imran Kombe. Tawala za nchi hizi 2 zikiwa bado hazijabadilika. .........
Mada nzuri ila ngumu.

Aisee ..... I see
 
Back
Top Bottom