Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Horace Kolimba anajua kila kitu maana alikuwa ndio mkuu wa msafara mchana ule Mmasai anapata ajali pale Dumila.

Bahati mbaya Kolimba amekufa na siri yake moyoni pale Kizota.
mambo ya karma hayo.
 
Naikumbuka hio scene. Mpaka mzee akasena basi wapeni wananchi chaguo lao, pale pale mkutanoni. Baada ya hapo mzee Mangula alishughulikiwa vilivyo na kuhamia Kinenulo Njombe shambani kwake, kwa kuwa ali endorse vibaya majina ya Boyz II men.
baadaye chama kikawashinda wakamwita tena mzee Mangula.
 
Inawezekana hapo ni mkono wa MUNGU tu unatuepusha maana amani hii ni yake na anaiweka kwa malengo yake. Ingekuwa ni yetu kwa matendo yote hayo walioorodhesha wafukuaji hapo juu nadhani ingeisha zamani tu.
 
sasa
Sasa kwanini ulikuwa 2001 mapema na Uchaguzi ni 2005?ahsante
 
haimaanishi chakula kama ujuavyo.... fuatilia vizuri
 
Nikikumbuka kifo cha Dr huwa kinaniuma sana,kilinikuta Temeke kwa dadangu ambaye miaka miwili baadae nae akafa kifo cha utata baada ya kuanguka tu nakuanza kutoa damu ilisemekana aliwekewa sumu kwenye kinywaji,hii dunia.

Pole sana mkuu.
 
Kagame alitakiwa kuwa silenced akiwa Tz,na Kagame huyo huyo anamkono wake katika issue ya Imran Kombe. Tawala za nchi hizi 2 zikiwa bado hazijabadilika. .........
Mada nzuri ila ngumu.

Aisee ..... I see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…