Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Mkuu umeelezea vilivyo.
 
Nawewe ni wa kitei mkuu?
 
Nmesoma thread yote, ila kuna kitu kipya nmekiona naomba mwenye uelewa anisaidie au atusaidie tusiojua.
Kwanini boss mkubwa wa miaka 10 aliepita Msanii Mwanauchumi msomi anaitwa KHALFAN?
 
Nmesoma thread yote, ila kuna kitu kipya nmekiona naomba mwenye uelewa anisaidie au atusaidie tusiojua.
Kwanini boss mkubwa wa miaka 10 aliepita Msanii Mwanauchumi msomi anaitwa KHALFAN?
Jina la Kati. JKMK
 
Kwa awamu hiyo pm walikuwa wawili kwa hiyo hapa unamuongelea wa kaskazini ama wa kusini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…