Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hii hataree[emoji134]
 
2017 nusu tupoteze mbunge kwa risasi
usisahau wanaotekwa na kupotea jumla kama saa nane na yule mwandishi n.k
 
Hii naweza kuamini kuliko hyo ya kwamba kala sumu ya mtu mwingine,ni uongo kwamba mtu anaweza kuplan kumuua rais wa nchi nyingine hapa Tanzania tena kwa sumu na huku akijua maswali yote yataelekezwa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vema kuandika kila kitu na hawa jamaa wanavyokomaa, utaishia kuvaa pingu au kupotezwa kwa style isiyojulikana. Bora ukimbize ubawa kama kunguru mwoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…