miminawewe20017
Member
- Dec 12, 2017
- 75
- 92
kweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
Ngoja waje wajuzi wa hayo mambo but nahisi alikuja baada ya boyz2men kugombana ili asaidie upande wa chama