Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

alikuwa nani na kwann mwanae dully sio mwanasiasa...alifanikisha nn ccm nk?
20171024_103057.jpg
chukua nondo hiyo, acha kuuliza maswali somaaa
 
Laurent Kabila aliendesha Mapambano ya kumtoa Mobutu akitokea Mikocheni

Rajab Hussein na Pierre Nkurunzinza walikuwa wakiendesha Mapambano ya kuwatoa kina Pierre Buyoya kutokea Buguruni kwa Mzee wa Kibwali Mzee Mnenge

Yoweri Kaguta Museven kaongoza Vurugu Uganda akiwa Dar
Edward Mondlane kaongoza Vurugu za Msumbiji akitokea Dar

Paul Kagame kaongoza Vurugu Rwanda akitokea Uganda

Hata Prof Wamba alikuwa akiongoza Vita akiwa Dar!
Mapinduziiiiiii daimaaaa
 
Dkt Omar kafariki Mkapa akiwa hapa Nchini na ndie aliutangazia Umma kupitia Radio Tanzania Alfajir ya Siku hiyo hiyo!

Kumbuka kuagiza gari tu mpaka kulitoa Bandarini ni Mchakato wa zaid ya Mwezi Mmoja Sasa huo Mchakato wa Kupitisha Silaha ulikuwa na haraka kiasi gani kiasi cha mambo yote kufanyika Amiri Jeshi akiwa nje ya Nchi na bila ya kufahamishwa?

Mwisho kwa kukusaidia Rais akiwa hayupo Nchini huwa kisheria anakaimisha Madaraka yake yote kwa Makamu wa Rais lakin Yale majukumu yake yake yenye nature ya Uamiri Jeshi huwa hayakaimishwi Mf. Kutangaza Vita, kutangaza hali ya hatare na mfano wa hayo!
Hzo silaha alizoruhusu zipite zilikuwa zina athari gani kwa nchi maana naimani zilisindikizwa hadi zinakokwenda
 
Omariii alii jumaaa(RIP) umemwacha mkapa na naniii Jana tulikuwa nawe baba!!!

Mashairi ya marehemu Captain John Komba

Yule makamu nilikuwa nampenda sana

Kwanza alikuwa anawananga wanaimani wenzake wapeleke watoto shule wapate ilimu dunia waache kulialia. Enzi zile ngangari na ngunguli heheheheh.


Daaah R.I.P baba
... umetutoka , bila kusema, haya kwa herini watanzania....!
Daah nilikua bado kinda lakini jinsi huu wimbo ulivyokua ukipigwa TvT mpka sasa sauti yake haijapotea kichwani...
 
Back
Top Bottom