Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hum wengi nimewatoa povu na wanaishia kutoa matusi mara anaiba kongo hua nasema hata majeshi ya Tz yapo kule lakin why hawarud na hayo madin inamaaana majesh ya tz n mafala kiasi hicho kama madin congo yapo yapo tu Yan uswahili ni kazi sana.
Ungalikuwa unafahamu yanayoendelea behind the scene katika siasa za afrika mashariki,ndio ungeweza kuelewa uhusikaji wa Slim bandit kwenye matukio yanayoendelea.
 
Ungalikuwa unafahamu yanayoendelea behind the scene katika siasa za afrika mashariki,ndio ungeweza kuelewa uhusikaji wa Slim bandit kwenye matukio yanayoendelea.

Afanye asifanye Life goes on shida mnaongea sasa kama wewe unakuja unasema Ungejua behind the scene ukiulizwa yaelezee unabakia unatoa macho Ataendelea kuwanyoosha hana muda yule.
 
Ebwana eeeeeh unajua kama jamaa aliyekufukuzwa DSTV aka Mr Mwongo atapiga mzigo hapo Luanda na madam bilionaire lakini kulala halali kwa sababu anaogopa Boys 2 men hivyo hulala kwa akina Dali Mpofu?
Nimeng'amua codes zote kasoro hii DSTV
 
Memmorial
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] yaani ukiuliza code unajibiwa kwa code ndo maana vijana wanaukimbia huu Uzi, bado sijakusoma mkuu, pia mr Clean namhisi tu ila sina uhakika nae
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] yaani ukiuliza code unajibiwa kwa code ndo maana vijana wanaukimbia huu Uzi, bado sijakusoma mkuu, pia mr Clean namhisi tu ila sina uhakika nae
Tafsiri shekhe, usiwe jiwe
 
Halafu hua wanamsemaaaa yeye anazidi kufanya makubwa yale mambo ya usiempenda kaja ndio anayo Mr Slim.hawa waswahili hakuna hata 1 aliewaiweka concrete evidence juu ya tuhuma za mr slim
Labda nikukumbushe kuna kipindi slim thugh alijitahidi akajenga tower as like aicc akajaribu kuteka watu wa adis waje wafanye mkutano hapo ila kwa kuwa kando kando yake yalishaonekana na by then kwenye kigoda alikuepo mtoto wa mjini basi wakampotezea vibaya mno bifu lingine.

Hivi unajua kuwa habariamana aliepelekwa wasiporudi watu ni ndugu yake na huyo salamia yule ambae nyampara wa road amempa zawadi ya kiti cha kwa wagogo .

Mwisho nikuhakikishie escadron de la mort ndio watakuja kumuondoa boss wao. Lets wait for the time to reveals
 
End of thinking capacity ikfika mwisho ndio haya watu wnaaanza kutafuta mchawi Kiukweli Weng wa waswahil hawakudhan kagame atawapiga gap kwa mda mfupi aliokaa madarakani kafanya mambo mengi makubwa halafu hana majungu kinawauma sana Kuona vile hawa Wabongo ndo mana kila kitu Kagame kagame na hana muda na waswahili zaidi zaidi Rais wao kwenda kule kutafuta skills za kuongoza Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Afanye asifanye Life goes on shida mnaongea sasa kama wewe unakuja unasema Ungejua behind the scene ukiulizwa yaelezee unabakia unatoa macho Ataendelea kuwanyoosha hana muda yule.
Yashaelezewa mengi humu yamhusuyo.kila mtu ana utashi wak. una uhuru wa kuamini unachotaka kuamini,ila tu yakupaswa kufahamu kuwa absence of evidence is not evidence of absence.
 
Yashaelezewa mengi humu yamhusuyo.kila mtu ana utashi wak. una uhuru wa kuamini unachotaka kuamini,ila tu yakupaswa kufahamu kuwa absence of evidence is not evidence of absence.
Mkuu ebu fatilia hii makala ingawaje ni ya zamani lakini unaweza kupata picha ya kile kinachoendelea Congo na roles ya slim mpaka hapo Congo ilipofikia. Hii makala iliandikwa na [HASHTAG]#Washington[/HASHTAG] Post 1998.



RWANDA ADMITS ITS TROOPS AID CONGO REBELS










By Lynne Duke November 7, 1998

Rwanda's military leader, Vice President Paul Kagame, admitted publicly for the first time today that his troops are involved in the Congolese conflict launched three months ago by rebels trying to oust President Laurent Kabila.

After months of official denials, Kagame, who is also Rwanda's defense minister, acknowledged his country's role following an hour-long meeting here with South African President Nelson Mandela, two days after he had met with the U.S. assistant secretary of state for Africa, Susan E. Rice, in Kigali, the Rwandan capital.

Diplomats had described Rwanda's denials as a major obstacle to mediation efforts to end the widening war in Africa's third-largest nation, which has become a continental conflict. The war, which broke out Aug. 2, has drawn in Angola, Zimbabwe, Namibia, Chad and numerous regional militias on Kabila's side, with Rwanda and Uganda supporting the rebels.













































"Initially, our country hadn't, for good reasons, come out specifically to talk about the presence of our troops in Congo," Kagame said today, seated beside Mandela at a news conference. "We have informed the president that we are there specifically for our national security. That situation in Congo has always affected our security, and we are there specifically for that purpose."

Rwanda, Congo's neighbor to the east, has involved itself in two Congolese conflicts in the past two years, and in both cases it persisted for several months in denying it. Also in both cases, Rwanda's military moves were intended to combat Rwandan ethnic Hutu extremists, including perpetrators of the slaughter of 500,000 Rwandan Tutsis in 1994, who use Congo as a base for attacks against Rwanda. In the first war, launched in 1996 -- when Congo was called Zaire -- Rwanda led the forces that ousted dictator Mobutu Sese Seko and installed Kabila in power.

Since the outbreak of the latest Congo war, Rwanda again maintained a policy of denial, despite sightings of Rwandan troops inside Congo and confirmation by Congolese rebels that Rwandans were in the conflict. Uganda has admitted it has troops inside Congo, but Rwanda's denials scuppered several attempts at mediation.

"Many people felt that the fact that Rwanda did not admit that they were combatants created immense difficulties" for the peace process, Mandela said. "Now that Rwanda has made this acknowledgment, I think that we have reason to believe there is going to be progress."

The negotiating framework that Mandela and others are proposing includes a cease-fire, a troop standstill, a foreign troop withdrawal and more talks leading to Congolese elections. But Kabila's government said Kagame's statement was not enough for Congo to agree to a cease-fire, the Reuters news agency reported from Kinshasa, the Congolese capital.

"For us, saying that they are there makes no difference because we knew they were there. They must withdraw," said Kabila's chief political aide, Pierre-Victor Mpoyo.

Although thousands of mutinous troops from his own army appear to form the core of the rebel force, Kabila has called the conflict an invasion by Rwanda's ethnic Tutsi-dominated army and its close ally, Uganda. Some diplomats also have characterized the war as an invasion.

Rwanda maintained its silence on its involvement in an effort to avoid fueling "that confusion," Kagame said.

"The conflict was an internal conflict which has brought in external forces," he said.

After helping to install Kabila in power in May 1997, Rwanda allowed hundreds of its troops to remain in Congo to help organize and professionalize Kabila's new military. But Rwanda gradually fell out with Kabila over the issue of border security. As relations became strained, Kabila suddenly announced late in July -- despite prior agreement on a Rwandan withdrawal -- that he was kicking Rwandan troops out of the country. This, coupled with Rwanda's belief that Kabila was recruiting Hutu extremists for his army, led to a final breach.

Kagame was vague today about precisely when his troops moved into Congo. He denied that his army was inside Congolese territory on Aug. 2, but suggested that forces moved in soon after.

With its complex ethnic, economic and nationalistic dimensions, the Congo conflict has alarmed African and Western leaders because of its potential to broaden even further and become more intractable.

"If this conflict is not stopped, the danger of a massive African war is a reality," Aziz Pahad, South Africa's deputy foreign minister, said Thursday.

During her attempt at shuttle diplomacy in several of the combatant states this week, Rice met with Kabila and, in effect, told him, "He can be part of the solution, or he can continue to be part of the problem," a U.S. official said. "And if he continues to stand on his current ground, this place will continue to explode."

Asked how long Kabila can hold out, the official said, "As long as the Angolans and the Zimbabweans are willing to stand by him, I think indefinitely." CAPTION: Rwanda's Kagame was vague about when his troops entered Congo. ec
Pohamba Prof HNIC
 
Back
Top Bottom