Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hivi jamani Rostam nchi hii ndo kaizira kabisa? Ila ushindi wa boys2men ndo ulikua ushindi wa Tanzania zidi ya mfumo Kristo!! Ila ndo vile tena!!
Ona mwehu huyu
 
Kikubwa zaidi tuendelee kumshukuru ikibidi kumchangia gharama za uendeshaji boss Maxence Melo ili Jf iendelee kutuhabarisha mengi ambayo hatuyajui .

Jf inatusaidia kupata habari za huko nyumbani utafikiri tupo Segerea sheli Oilcom wakati tupo huku. Long Live Jf.
Hahaha...mkuu, hope you're doing fine. Kuhusu issue ya "Segerea sheli Oilcom" hii ni serious security breach..
 
hivi wana familia wanaposoma au kugundua kuwa baba yao "aliharakishwa" hakuna wa kufikiria kulipiza kisasi? au ndio maana hawapewi nafasi ya kuwa viongozi wakubwa wasije kuingia ndani ya system na kufanya yao?
Wanaangaliwa ktk jichola hali ya juu sana, mara nyingi huwa wanawekewa inzi ili wasije wakachafua hali ya hewa ama kupindua meza
 
 
Ohoooo!!!
 
Tutatoka kwenye mada mkuu ila ukweli ndio huo ! Wote waliokuja na jamaa wengi wamerudi nyumbani kwao wakapokelewa tena na halaiki. Kama una macho nadhani unaona.
Mamvi bhana

Aligeuza watz maboya sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom