Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje apandishwe bodaboda peke yake?

huyo baba wa kufikia na yeye akamatwe akibinywa pumbu ataeleza vizuri, alichoandika kwenye ukurasa wake na video aliyojichukua inaonesha kabisa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia,

Serikali yetu tukufu chini ya mama yetu mlezi, mama shupavu na mpambanaji, mama Samia tunaomba mtoto apate haki yake, damu yake isipotee bure, washukiwa wote wakamatwe wahojiwe, hasa huyo anayejiita Chief Godlove,
Natanguliza shukrani
 
huyo baba wa kumfikia na yeye akamatwe akibinywa pumbu ataeleza vizuri, alichoandika kwenye ukurasa wake na video aliyojichukua inaonesha kabisa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia,

Dkt. Gwajima D
 
Duuuh we jamaa umeongea kama vile tupo bungeni.
 
Huyo mtoto alie uwawa kinyama na wa yule Bilionare? inakuwaje anapanda Bodaboda? RIP Mtoto
IMG_20241227_103147.jpg
 
Katoa kafara dah
Yule ni tapeli tu hana lolote au anatumika, sasa swali la kujiuliza anatumika kwa malengo gani..hiki ndicho anakitafuta attention sasa attention ya watu kwa malengo gani haswa, je ku divert watu wasiongelee uchaguzi wa chadema ama vipi ..akili kumkichwa ..hakuna cha kafara wala nini , actually unaweza kutamka kafara ila kafara la kutengenezwa ili ku spin mambo yanayoendelea kwenye society...
 
Back
Top Bottom