Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Ni siri alizotoka nazo kwa yule jamaa anae lea watoto wengi mzee wa 900 itapendeza?Daaah dogo kaingia kwenye mfumo wa matajiri.
KAZI ni kipimo cha UTU
Si ndio hapo ndo kwanza show imeanza tutarajie kuona mengi.Wanaanza na Mbuzi wakifikri Itaishia hapo.
Kisha mtoto wake analelewa na bodaboda.Ndio yule jamaa mshamba anayeonyeshaga mipesa mitandaoni!?
Dkt. Gwajima Dhuyo baba wa kumfikia na yeye akamatwe akibinywa pumbu ataeleza vizuri, alichoandika kwenye ukurasa wake na video aliyojichukua inaonesha kabisa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia,
Serikali yetu tukufu chini ya mama yetu mlezi, mama shupavu na mpambanaji, mama Samia tunaomba mtoto apate haki yake, damu yake isipotee bure, washukiwa wote wakamatwe wahojiwe, hasa huyo anayejiita Chief Godlove,
Natanguliza shukrani
Wafanya-biashara wampokee Yesu.
Duuuh we jamaa umeongea kama vile tupo bungeni.huyo baba wa kumfikia na yeye akamatwe akibinywa pumbu ataeleza vizuri, alichoandika kwenye ukurasa wake na video aliyojichukua inaonesha kabisa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia,
Serikali yetu tukufu chini ya mama yetu mlezi, mama shupavu na mpambanaji, mama Samia tunaomba mtoto apate haki yake, damu yake isipotee bure, washukiwa wote wakamatwe wahojiwe, hasa huyo anayejiita Chief Godlove,
Natanguliza shukrani
Hio hio ilio andikwa kwenye Gazeti yuko humu anakandia sana watu ila why mtoto apande Bodaboda na Baba ni Bilionare?Anaitumia ID gani?
Tuishi maisha yetu wazeee pesa zitakuja tu
Bodaboda kawaida bro labda inategemea na mda gani alipanda hiyo bodabodaHio hio ilio andikwa kwenye Gazeti yuko humu anakandia sana watu ila why mtoto apande Bodaboda na Baba ni Bilionare?
Duh!,hivyo tu!Uzuri ni kwamba ameapa kuwa wahusika wote hawata ishi kwa amani maisha yao yote.
Sidhani kama anahusika, asingezungumza hivyo.
Sio kiufundi bali kijuha sanaNaona kama Kuna mchezo umechezwa hapo KIUFUNDI sana
Hata wachawi msibani hulia sanaUzuri ni kwamba ameapa kuwa wahusika wote hawata ishi kwa amani maisha yao yote.
Sidhani kama anahusika, asingezungumza hivyo.
Yule ni tapeli tu hana lolote au anatumika, sasa swali la kujiuliza anatumika kwa malengo gani..hiki ndicho anakitafuta attention sasa attention ya watu kwa malengo gani haswa, je ku divert watu wasiongelee uchaguzi wa chadema ama vipi ..akili kumkichwa ..hakuna cha kafara wala nini , actually unaweza kutamka kafara ila kafara la kutengenezwa ili ku spin mambo yanayoendelea kwenye society...Katoa kafara dah