Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje apandishwe bodaboda peke yake?

Uzuri ni kwamba ameapa kuwa wahusika wote hawata ishi kwa amani maisha yao yote.
Sidhani kama anahusika, asingezungumza hivyo.
Ah wapi.. binadamu unawajua lakini mkuu.. mtu anaweza piga tukio na akajikausha kabisaaa kama si yeye vile...
Hizi pesa za masharti mbaya sana.
 
Kumbe ni Godlove huyu huyu Tajiri Manyota?
 
Unajichosha na kujipa hasira bure.
 
Kama ni tukio kudivert Chadema. Bado sana watamalizana lakini issue ya Chadema itabaki kuwa hot
 
Naona Dodoma matukio yamekua mengi sana ya mauwaji
Serikali iwekeze hela nyingi sana kwenye upelelezi ili hizi kesi ziwe zinatatuliwa kwa umakni zaidi.
Tunahitaji wapelelezi waliobobea sana na wapewe kila wanachotaka ili kukamilisha upelelezi.
 
mchezo mchafu umefanywa.. mama wa mtoto alijua wazi kuwa bodaboda hawezi kukaa na mtoto akaacha dili za pesa zimpite, hivyo akamkodi amlindie mtoto na baadae kidogo si ajabu akampanga mtu mwingine (au huyo mpenzi wake alietoka nae) ampigie huyohuyo bodaboda simu kumpeleka somewhere.
Kitendo cha bodaboda kuacha lindo tu, muuaji aliyepangwa na mama akaingia kumaliza show, ili huyo mama (jojo) adange vizuri na kesi isiwe kwake..
 
Uzuri ni kwamba ameapa kuwa wahusika wote hawata ishi kwa amani maisha yao yote.
Sidhani kama anahusika, asingezungumza hivyo.
Sidhani km jamaa anahusika ila labda kitakuwa na kiongozi mzito mmlja ambaye Jojo ni pisi yake ndiye amezima hii issue...Mapolisi wakatulizwa wasiendelee na Uchunguzi

Mambo ni mengi Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…