Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka


Wasaidizi wa marehemu Nyerere wanajua movie yote ilivyokuwa hapo wameamua kupingana na Msekwa ili kuwachanganya watu waone kuwa ni porojo waache kufuatilia lakini mama Maria Nyerere anayo Siri moyoni akibembelezwa vizuri ataitoa au pengine anaogopa asije yakamkuta ya kawawa ambaye alijidai kuwa na Siri za Nyerere lakini akafariki pasipo kuzitoa Hizo Siri .
 

Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo

Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.
 
Kwa sasa hoja ya kapoteza fahamu lini?nani Wa mwisho kuzungumza nae haina maana.
Acha Magufuli atumbue majipu ili nchi isonge mbele
 
If it is true anahusika tusishangae mzee wa kusini akafa kifo kibaya sana mwisho wa uhai wake
 
Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo

Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.

Kitu kinaitwa Ushahidi Tanzania hakijawahi kufanya kazi Kama unakumbuka aliyekuwa Mbunge wa Musoma mjini Vicent Nyerere aliwahi kusema kwenye vyombo vya habari kuwa Nyerere hakufariki Kwa mapenzi ya mungu Bali aliuwa Kama unataka ushahidi mtafute vicent Nyerere atakupa ushahidi .
 
Kwanini Msekwa seme yeye ndio wa mwisho na kwanini wasaidizi waseme Mkapa ndio wa mwisho?

Ndipo pa kuanzia hapo sasa nadhani umebaini kuna kitu kinafichwa Msekwa mwenyewe anajua movie yote sema kakwepa kijanja tu.
 

Mbona hukumunukuu vicenti nyerere mwanzoni
Naona kama unakwepa vile lakini nafikiri kama taifa tumepata pa kuanzia ni vizuri ujiandae kuwa tayari kutoa ushahidi.na kusimamia kauli yako pasipo kuikimbia.
 
Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo

Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.

mkuu kwani hilo lina usiri gani mbona kishazungumzwa sana??
 
Yule Daktar Prof nani yule anajua nje ndani kuhusu mwalimu
 
Huyo msekwa na wew uliiweka hii habari wote ni majipu
Ngoja niwasiliane na mtumbuaji ajisogeze karibu yenu
 
Hapa ni mbona rahisi?
Magufuli amtake Mkapa ajisafishe dhidi ya kashfa ya kumuua Nyerere iliyotolewa hadharani na Vincent Nyerere.
Akishindwa sisi tunaendelea kumwamini Vincent kuwa Mkapa alihusika
 
TCRA starting following you
Mm napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…