Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Baada ya kifo cha mwl, Nyerere tuliona kasi ya uwekezaji ilivyoshika kasi na mikataba rahisi kwenye uwekezaji huo sijui nyuma ya pazia kuna siri gani.
 
Sijapata kusoma ujinga wa wanasiasa wa Tanzania kuhusu Nyerere zaidi ya huu.

Mawili, aidha mwandishi wa habari hii ni mpumbavu na lofa wa mwisho au wanaobishana kuhusu hilo (sijaona nukuu ya yeyote zaidi ya ujinga wa mwandishi).
 
Hebu tumwache apumzike jamani Baba wa taifa, Msekwa alikua wapi mda wote huo tangu baba wataifa afariki?? Asitake kutafta umaarufu tena kupitia kwa baba wa taifa naomba tumwache mwasisi wetu, msekwa kama alikua anajua angeongea kipindi kile anafariki
 

Mtazamo wangu sijapata hasa kisa chenye uzito cha kuweza kumuua Baba yetu wa taifa, wenzenu wanatumia hizi rumours / majungu kwa faida tofauti kabisa kwa kucheza na uwelewa wa jamii yetu pia tusisahau raia mwema kwa hii heading ni copy ngapi atauza ? ?
1. Kumbuka kuwa URAIS sio mkapa tu ni Institution na ni system of instituitions
2. Kumbuka London sio Tanzania kwamba serikali ingeweza kufanya hayo kwa at least 90% SIRI au hopt ya serikali
3.Jiulize kwa sasa muda woote huo bado mna bahatisha bahatisha kama kungekuwa na genuine Information huko huko london ungeyasikia yakiwa wazi wazi hasa magazetini.
4.Kumbuka Information kama hizo zina thamani kubwa sana, huwezi kuzizuia hata kwa pesa yapo makampuni makubwa sana kazi ni hiyo tu.


Nacho aamini mm ni kuwa watanzania tulimpenda/tunampenda sana baba yetu wa taifa na alitutoka kwa ghafla bila kutarajia na ni kawaida sana kwa jamii yetu kwa vifo vya ghafla huzua MAJUNGU MENGI lakini HAKUNA LOLOTE
M
 
Hakuna ubishi hapo, camera za St. Thomas zina semaje kuhusu huyu mgonjwa? Visitor register book inasemaje? Login logout time zina Tally?
 
Bifu la Mkapa na Msekwa litaibuka mda si mrefu kutokana na kitabu chake kuibua mjadala ambao ulifungwa kitambo.
 
Mtizamo wako ni majungu lakini mtizamo wa wengi si majungu bali ni kutaka kupata Ukweli harisi .
 
Baada ya kifo cha mwl, Nyerere tuliona kasi ya uwekezaji ilivyoshika kasi na mikataba rahisi kwenye uwekezaji huo sijui nyuma ya pazia kuna siri gani.

Nenda butiama kaa na familia ya Nyerere watakupa picha yote.
 
Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo

Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.

Mama Maria Nyerere , Mzee kingunge na huyo Msekwa wanajua Sinema yote ulivyokaa wakiimbishwa sana wataweka wazi Nendeni mkawaombe watawapa data.
 
haya marumbano hayana tija bora angeenda Magufuri angalau nyendo zinakaribiana kuliko kwenda mifisadi ambayo baada ya kifo chake ilijichukulia kila kitu
 
Nashangaa bado watu wanaulizia kifo cha nyerere kilitokana na nini,Vicent Nyerere alishaeleza kila kitu nani aliyemuua nyerere.
 
Mmmh!! hapa kuna harufu ya kuliwa fedha nyingi kwa kuundwa TUME !!! "ULAJI" unaandaliwa... !!
the banker

Mkuu hili Mbona lipo wazi halihitaji Tume kabsa, kingunge , Msekwa , Maria Nyerere na wanafamilia wakihojiwa vizuri kila kitu kitakaa wazi .
 
Last edited by a moderator:
Huyo msekwa na wew uliiweka hii habari wote ni majipu
Ngoja niwasiliane na mtumbuaji ajisogeze karibu yenu

Sasa unawatisha Msekwa na mleta mada badala ya kwenda kumuuliza kaweka live ili ujilizishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…