Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Nimepafikiria segadanse nikawa nakata kucha zangu nikajikuta nimemalizia mwalimu pumzika kwa amani mbele ya haki umetutangulia nasi siku yetu ikifika tutaungana nawe.Kazi yake mola haina makosa hapa nikamkumbuka madee kabla sijamalizia marjani rajabu na rufaa ya kifo mara remy anasema kifo hakina huruma nikashtuka kumbe ndoto.
 
Makongoro nyerere nae alikuwa wa kwanza kuzungumza BBC kuwa mwalimu alishafariki kabla hata mkapa hajatangaza na zilipita siku kadhaa
Sasa tumwamini nani?
 
Wakuu wakat baba wa taifa anafariki nilikua std six,kijijini sana,sasa hv karibun nimekua nikipenda sana kujua maisha yake, shortly nimekua very inspired.

Sasa nikitrace kifo chake naona tu kama alitoka kufanya medical checkup,je alikua anaumwa hata? Na iweje just medical checkup mtu azidiwe na kufa? Kiongoz wa nch kufariki at 75 age mi naona ni mapema sana coz of their status wanakua na madaktar na kupimwa mara kwa mara, nawaza rais mstaafu mwinyi saiv ana 90+,yaan naumizwa sana na kifo cha baba wa taifa naona kama chakizembe hv,

nikimuangalia mandela up to 90+ na aliish gerezan kwenye mateso muda mrefu, kwa waliokua karibu na serikal please niambieni what happened kwa huyu baba yetu wa taifa.

Rest in peace our lovely J.K Nyerere
 
Pekua Pekua umu kuna uzi mzito kweli kweli unaelezea mambo mengi
 
kivp mkuu? Nimeandka hv kwa sababu mchana huu nilikua namsoma mandela,nikamuwaza baba yetu Nyerere.afu am nt a kid anymore.
To her you are! Like you will always be your mother's child. BTW, curiosity killed the cat![emoji16]
 
we jamaa Baba alishakufa tayari, hata kaka Sokoine alikufa hivyo hivyo, ingelikuwa leo tungeita ni vifo vya mwendokasi
 
Hakuna cha mkono wa chinga wala nini huo ni uzushi tu alifariki kifo cha kawaida kama binadamu wengine !! Hayo maneno yenu ya vijiweni kwenye kahawa hayana research na hayana evidence ni ya kupuuza.. Rip baba wa taifa.
 
Back
Top Bottom