Wakuu wakat baba wa taifa anafariki nilikua std six,kijijini sana,sasa hv karibun nimekua nikipenda sana kujua maisha yake, shortly nimekua very inspired.
Sasa nikitrace kifo chake naona tu kama alitoka kufanya medical checkup,je alikua anaumwa hata? Na iweje just medical checkup mtu azidiwe na kufa? Kiongoz wa nch kufariki at 75 age mi naona ni mapema sana coz of their status wanakua na madaktar na kupimwa mara kwa mara, nawaza rais mstaafu mwinyi saiv ana 90+,yaan naumizwa sana na kifo cha baba wa taifa naona kama chakizembe hv,
nikimuangalia mandela up to 90+ na aliish gerezan kwenye mateso muda mrefu, kwa waliokua karibu na serikal please niambieni what happened kwa huyu baba yetu wa taifa.
Rest in peace our lovely J.K Nyerere