Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Siempre El Comandante J.K Nyerere[emoji120]

Siempre

Siempre[emoji120]

Kama sio juhudi zako adhimu mwalimu Kamarada JKN....labda Tanzania ingekuwa na ubaguzi wa kidini ,kikabila na kikanda....

Alhamdulillahi Tanzania si Sudan ,Congo ,Kenya ,Uganda wala Somalia......

#SiempreElComandanteJKN[emoji120][emoji2956][emoji2956]
 
Una chuki naye sana eee?!!![emoji849]
Mtu akisema kweli mnarukia chuki.

AlhamduliLlah nimeuishi utawala wake.

Nyerr kama binaadam wengine yeyote, ana mema yake na ana mabaya yake. Hakuwa malaika.

Ulikuwepo wakati wa utawala wake?
 
Si kuishi tu utawala wake, alikuwezesha kusoma tangu chekechea nje ya nchi.

Mshukuru hata kwa hilo. Baba yako hakuwa na sifa za kufanya kazi kule alikopelekwa.
Ndivyo ulivyodanganywa. Ulikuwepo wakati wake?
 
Inafikirisha sana.
Ahsante
 
Wadanganye wasiokufahamu. Bila Nyerere ungeishia darasa la saba wewe. Baba yako kasoma madrasa, lakini kaja kuwa mkuu wa Polisi, huo ukuu aliupataje?
Madrassa hoyee.

Si wazazi wangu tu, hata mimi nimesoma Madrassa na mpaka leo sijaacha kusoma Madrassa.

Una tatizo lipi na Madrassa? Uislam ni mwema sana, ungeujuwa uzuri wa Uislam, usingekubali kubaki kwenye ibada za kishetani hata siku moja, nakushauri usome Uislam kutoka kwa Waislam siyo kutokea kwa haters, watakujaza ujinga tu.

Una swali lolote kuhusu Uislam?
 
Mtu akisema kweli mnarukia chuki.

AlhamduliLlah nimeuishi utawala wake.

Nyerr kama binaadam wengine yeyote, ana mema yake na ana mabaya yake. Hakuwa malaika.

Ulikuwepo wakati wa utawala wake?
Sikuwepo ukhty.....

Haya.... tumeusiwa wapi kuyasema mabaya ya marhum wetu kwa takriri "aila" ya hivyo ulivyomsema?
 
Asante sana kwa taarifa
 
Mtu akisema kweli mnarukia chuki.

AlhamduliLlah nimeuishi utawala wake.

Nyerr kama binaadam wengine yeyote, ana mema yake na ana mabaya yake. Hakuwa malaika.

Ulikuwepo wakati wa utawala wake?
Ndo maana naye alisema tuchukuwe mazuri yake na tuache mabaya

Ila alitushangaa sisi kuchukuwa na mabaya tu na kuacha mazuri
 
Ndo maana naye alisema tuchukuwe mazuri yake na tuache mabaya

Ila alitushangaa sisi kuchukuwa na mabaya tu na kuacha mazuri
Ni vyema kuwa unakiri alijijuwa kuwa ana mabaya yake, kama kiongozi mabya na mazuri yake ni public siyo private. Ni vyema yote yakawekwa wazi ili yawe ni mafunzo kwa wengine.

Vibaya ni kumzulia uongo, yeyote yule, awe au asiwe kiongozi.
 
Miss you aunt bibi
 
Una tatizo lipi na Madrassa? Ujslam ni mwema sana, ungeujuwa uzurinwa Uuslam, usingekubakinkubaki kwenye ibada za kishetani hata siku moja, nakushauri usome Uislam kutoka kwa
Kwa uandishi huu Kuna uwezekano. Kumbe unafahamika kweli.
 
China kutibiwa? Wana ubora gani wa matibabu China?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…