Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Sikuamini kama ungedumu, na wengi waliongea kwa kujiamini sanaule uzi ni mzito sana ila umenifungua mengi sana
Sikuamini kama ungedumu, na wengi waliongea kwa kujiamini sanaule uzi ni mzito sana ila umenifungua mengi sana
Watu walifunguka sana tukajua mengi aseeSikuamini kama ungedumu, na wengi waliongea kwa kujiamini sana
Ule uzi ulinifanya niogope siasa kama ukoma, ikiwa kifaranga atamwangamiza mamayeWatu walifunguka sana tukajua mengi asee
Aisee mm ulinifanya nione vitu vingi kwa jicho la tofauti na kuamini hisia zangu na kuitafakari kwa undani TANZANIA.Ule uzi ulinifanya niogope siasa kama ukoma, ikiwa kifaranga atamwangamiza mamaye
WAcha na mimi nikausome huo uziHeading yake tu ni hatari kwa afya.
Sijui ilikuwaje ule uzi wa awali haukufutwa!
Mkuu tunachekeana lkn Tz unyama wa gizani unatishaAisee mm ulinifanya nione vitu vingi kwa jicho la tofauti na kuamini hisia zangu na kuitafakari kwa undani TANZANIA.
Utata wa kifo cha Nyerere: Siri zaidi zafichukaWAcha na mimi nikausome huo uzi
Unyama upo nchi nyingi chiefMkuu tunachekeana lkn Tz unyama wa gizani unatisha
Naelewa hilo, sehemu kama Kenya hawachekeani so unachukua tahadhari.Unyama upo nchi nyingi chief
Ule wa Dr Omary Ali JumaKuna uzi flani nimeusahau ulifukua mengi sana
Kweli mkuuUle wa Dr Omary Ali Juma
ndio maana mm nimependa baada ya kuyasoma humu maana hisia zangu zilikua zinakataa kama haya mambo hayapo TZ,Naelewa hilo, sehemu kama Kenya hawachekeani so unachukua tahadhari.
Lkn Tz mwonekano na matendo ni mafuta na maji
Mkuu naomba linkUle wa Dr Omary Ali Juma
Sipendi kabisa kung'ang'ania utumwa huo, yaani hugeuka kijiwe cha majungu na fitnandio maana mm nimependa baada ya kuyasoma humu maana hisia zangu zilikua zinakataa kama haya mambo hayapo TZ,
Ila ss hivi sina doubt tena najua yapo na yanaendelea maana binadamu wameumbiwa tamaa sana, mambo ya uongozi hasa serikalini sio mazuri kama una roho nyepesi.
Inashangaza ss kuna watu wanapenda kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote ili wapate hayo mamlaka makuu..Sipendi kabisa kung'ang'ania utumwa huo, yaani hugeuka kijiwe cha majungu na fitna