Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Mbona nipo gizani? Nini kimetokea huko duniani hadi kuuamsha uzi wa miaka sita iliyopita? Kwema kweli?
 
habar kwenu enyi wajuvi wa mambo wana wa Tanzania mlopikwa mkapikikia wana wa jf.
tukiwa kwenye kampeni arumeru paliibuka maneno kuwa bwana kitambi nkapa ndio alimuua mzee.mchonga ili auze linchi. naomba kujuzwa ni upi ukweli
 
Hili Jambo Mkaa Hapa alilipeleka Kifamilia zaidi.
 
Back
Top Bottom