Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Nasikiaga eti huyo jamaa alikatwaga manyungulusi zake eti ndiyo sababu,anaejua zaidi anijuze
 
habar kwenu enyi wajuvi wa mambo wana wa Tanzania mlopikwa mkapikikia wana wa jf.
tukiwa kwenye kampeni arumeru paliibuka maneno kuwa bwana kitambi nkapa ndio alimuua mzee.mchonga ili auze linchi. naomba kujuzwa ni upi ukweli
Stress na pressure iliyomwondoa Mzee ni kuuzwa kwa taasisi kubwa za Umma zenye maslahi kwa Watz na Ufisadi wa huyu Bwana.

Haswa kuuzwa kwa NBC kwa makaburu.
 
Back
Top Bottom